China watataka dunia nzima wawe wao tu - Marehemu Askofu Kulola

China watataka dunia nzima wawe wao tu - Marehemu Askofu Kulola

Unataaaka niseme...!

Moses Kulola - EAGT

Mch. Lazaro - TAG

Kakobe - FGBF

Hao ndio waanzilishi wa makanisa ya Pentekoste yafahamikao kama ya kiroho kutoka Marekani (Assemblies of God) na walipokea vyombo pamoja mkoani Mbeya. Walifanya injili kwa tabu na mazingira magumu sana hasa Kulola kwa kujaribu kupinga Doctrine na Liturgia za Roman, Lutheran, Anglican n.k

Hiyo ni kabla ya hizi Ministries na Makanisa ya watu wa kupiga pesa...!

Pamoja na kudhoofika bado Mosses Kulola na Uzee wake alikuwa anafunga kula ilifikia mahala utumbo ukajikunja na akakatazwa na Daktari kufunga.

Amemwacha Mzee Mwizarubi (EAGT) kama katibu na miongoni mwa wazee wa huduma hiyo waliobaki.

Well, nimewaelezea tu ninavyomfahamu ila am not belong to EAGT neither TAG

[emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
Umemwelezea vyema sana nakumbuka Kakobe wakati kipindi chake kimepamba moto kwenye TV kila mahali akifika anasema kabisa hapa Askofu Kulola alifika miaka kadhaa iliyopita.Kulola alianza vijijin
 
Back
Top Bottom