China wajenga daraja kubwa kuliko yote duniani

China wajenga daraja kubwa kuliko yote duniani

Lishabomoka hilo tayari, cha mchina muachie mchina mwenyewe...

View attachment 3501411
  1. China's newly constructed Hongqi bridge collapses after massive landslide | WATCH
Edited By: Isha Bhandari @IshaBha94705282
Published: November 11, 2025 23:40 IST, Updated: November 12, 2025 5:30 IST

New Delhi:
A section of the recently inaugurated Hongqi Bridge in China’s Sichuan province reportedly collapsed into a river after a powerful landslide on Tuesday. Dramatic footage circulating online shows the bridge crumbling as the mountainside beneath it gave way. Authorities confirmed there were no casualties, and an investigation is underway into the cause of the disaster.




Bridge crumbles into river after landslide​

Videos shared on social media captured the terrifying moment when the bridge’s concrete pillars tilted and collapsed, sending a large section plunging into the river below. A huge cloud of dust and debris filled the air as soil and rocks from the hillside engulfed the bridge’s foundation. According to reports, the Hongqi Bridge, part of a national highway connecting central China to Tibet, partially collapsed on Tuesday afternoon.






Bridge closed before collapse​

Authorities said the bridge had been closed to traffic a day earlier, after cracks appeared on nearby slopes and roads and experts detected movement in the adjacent mountain. Despite preventive measures, the terrain deteriorated further, triggering a massive landslide that destroyed part of the 758-metre-long bridge and its approach road.

Preliminary findings indicate that geological instability in the steep mountain area was the likely cause. The region reportedly has a history of landslides. Officials have begun a technical investigation to determine whether any structural or engineering flaws also contributed to the collapse. The Hongqi Bridge, built by the Sichuan Road & Bridge Group, was considered a crucial link between Sichuan and Tibet and had only been recently completed.

The incident comes just months after another infrastructure failure in China a railway bridge collapse in Qinghai province in August, which killed 12 workers and left four others missing, according to Newsweek.

​

China's newly constructed Hongqi bridge collapses after massive landslide | WATCH​

Preliminary findings indicate that geological instability in the steep mountain area was the likely cause. The region reportedly​

Ni madaraja 2 tofauti, la kwenye uzi ni Huajiang lililobomoka ni Hongqi

Hili la Hongqi halijabomoka kwa maana ya kasoro katika ujenzi au kukosa ubora bali ni landslide maporomoko ya udongo yameeangukia daraja

Be updated
 
Sipendi sana siasa za ukomunisti kwa namna fulani kuhusu watawala lakini wachina kuna namna wanafanya maendeleo ambayo hata wananchi hawajaomba.

Nafikiri unanielewa naposema wanafanya maendeleo ambayo hata wananchi hawajaomba sisi huku wananchi tutasema tunataka sijui maji,barabara,hospitali,shule sasa serikali ya China kuna vitu inafanya ambavyo hata wananchi wao hawajataka.

Hawa watu wanaweza fanya mradi wa billions of money katika eneo ambalo hata huo mradi hauwezi lipwa na mapato ya watu wa eneo hilo lengo tu shughuli za kiuchumi na kijamii zi rahisike kwa watu wa eneo husika na ndio maana wengine wanasema mradi wao wa HSR ni wa hasara tu lakini wao wanasema hawatazami leo wala kesho pia hawajengi kwa lengo la kutengeneza faida kubwa lengo ni huduma za kiuchumi,kijamii kurahisika kwa watu na hivyo ndivyo uchumi hukua.

Mfano hilo eneo la Guizhou ni moja ya maeneo yaliyo na GDP ndogo sana China na pia yamekaa vibaya kutokana na milima lakini miradi wanayo fanya hawa wakomunisti kwenye hilo eneo ya pesa nyingi na kitu kimoja pekee wana amini wao hilo eneo lita inuliwa kiuchumi kwa huduma za kiuchumi na kijamii kurahisika kwa watu wa Guizhou mfano hilo daraja
Umeeleza uzuri sana.

Na kwa kuongezea nyama ni kwamba mwaka 1978 China waliamua kufanya mageuzi ya kiuchumi ambao ungebadilisha kabisa uchumi wa kijamaa (kama tulokuwa nao Tanzania) kwenda kwenye uchumi wa kisasa kupitia kilimo cha kisasa, biashara ya kimataifa na ujasiriamali wa kisasa.

Hivyo chama cha kikomunist ( wale wazee kule juu) waliamu kuboresha kilimo na pia kuifungua China kwa wawezekezaji wa nje ambao wangefanya biashara na wachina lakini kwa masharti yalowekwa na China.

Kazi hiyo ya kusimamia mageuzi ya kiuchumi wa China alipewa mzee Deng Xiaoping ambae alikuja na dhana iloitwa "Deng Xiaoping Theory" au ukipenda iite Dengism ambayo ikuchukua nadharia zilezile za akina Carl Max, Lenin na Mao na akazichanganya na mazingira ya kijamii na kiuchumi yalokuwepo China.

Hivyo huo ni uchumi ulotegemea uzalishaji katika sekta zote lakini pia ulohitaji wazalishaji yaani "producive forces" ambao ni wananchi wote vijana kwa wazee wenye ujuzi, elimu na maarifa.

Tanzania tiyari tuna Ilani za Uchaguzi ya 2015-2020 , ipo ya 2020-2025 na sasa tuna ilani iloletwa ya 2025-2030 lakini bado hatuna "productive force" yenye elimu na ujuzi na maarifa ya kutosha kufikia yale tunoyashangaa kama hilo daraja la huko Uchina.

Na ni haohao CCM kupitia maono ya mtu mmoja Rostam Aziz wamekuja na kitu chaitwa National Develoment Vision 2050 au dira ya taifa 2050.

Ni hapo tu ndipo twajichanganya na kamwe hatuwezi kufuata alokifanya mzee Deng Xiaoping ambacho leo hii kimeifanya China kuwa taifa kubwa duniani, kiuchumi, kijeshi, kiteknolojia na nyanja zingine nyingi tu.
 
Ni madaraja 2 tofauti, la kwenye uzi ni Huajiang lililobomoka ni Hongqi

Hili la Hongqi halijabomoka kwa maana ya kasoro katika ujenzi au kukosa ubora bali ni landslide maporomoko ya udongo yameeangukia daraja

Be updated
Hatutaki maelezo
 
Back
Top Bottom