China sio nchi iliyoendelea

Kila msaada unaopata kutoka shirika lolote la UN (Umoja wa Mataifa) Mchina amekuchangia kwa asilimia 12 wewe mleta uzi

🇺🇳WHO FUNDS THE UNITED NATION?? (% of UN Budget) :

1.🇺🇸United States~22%
2.🇨🇳China~12%
3.🇯🇵Japan~8.5%
4.🇩🇪Germany~6.1%
5.🇬🇧United Kingdom~4.5%
6.🇫🇷France~4.4%
7.🇮🇹Italy~3.3%
8.🇧🇷Brazil~2.9%
9.🇨🇦Canada~2.7%
10.🇷🇺Russia~2.4%
11.🇰🇷South Korea~2.2%
12.🇦🇺Australia~2.2%
13.🇪🇸Spain~2.1%
14.🇹🇷Turkey~1.3%
15.🇳🇱Netherlands~1.3%
16.🇲🇽Mexico~1.3%
17.🇸🇦Saudi Arabia~1.2%
18.🇨🇭Switzerland~1.1%
19.🇦🇷Argentina~0.9%
20.🇸🇪Sweden~0.9%
21.🇮🇳India~0.8%
22.🇧🇪Belgium~0.8%
23.🇵🇱Poland~0.8%
24.🇩🇿Algeria~0.8%
25.🇳🇴Norway~0.7%

🌐Others~12.1
 
Kuishi kijijjni pia mapenzi
Ila unaropokaga sana kwa mambo ambayo huna uelewa nayo

Marekani ni capitalist state tokea 1777 inapata uhuru china imeadopt capitalism miaka ya 1980's hivi kweli unaweza fananisha na marekani serious

Marekani ukifungwa kuna majimbo hurusiwi kumiliki nyumba jimbo kama la california halina affordable housing matokeo yake wamekua na homeless kubwa kwa lugha nyingine wewe kuwa maskini ni mtenda dhambi sababu system ya uchumi wao iko kwa ajili ya kuwabiriki wenye kipato kizuri na kuwaadhibu wenye kipato kidogo
 
China Ina maendeleo ya vitu, sio ya watu

Number of billionaires:

🇺🇸 US: 735
🇨🇳 China: 495
🇮🇳 India: 169
🇩🇪 Germany: 126
🇷🇺 Russia: 105
🇭🇰 Hong Kong: 66
🇮🇹 Italy: 64
🇨🇦 Canada: 63
🇹🇼 Taiwan: 52
🇬🇧 UK: 52
🇧🇷 Brazil: 51
🇦🇺 Australia: 47
🇫🇷 France: 43
🇨🇭 Switzerland: 41
🇯🇵 Japan: 40

According to Forbes
 
Halafu wewe ndio unajiona hujaropoka eti

Nikujuze tu wewe usie mropokaji marekani nzima inakumbwa na shida ya watu kutokua na makazi na kulala nje

Sasa sijui mie na wewe nani mropokaji
 
Halafu wewe ndio unajiona hujaropoka eti Nikujuze tu wewe usie mropokaji marekani nzima inakumbwa na shida ya watu kutokua na makazi na kulala nje Sasa sijui mie na wewe nani mropokaji
Halafu wewe ndio unajiona hujaropoka eti

Nikujuze tu wewe usie mropokaji marekani nzima inakumbwa na shida ya watu kutokua na makazi na kulala nje

Sasa sijui mie na wewe nani mropokaji
Wewe ni mropokaji unaichukia marekani sababu ya mambo ya kidini wewe ni muislamu na jambo lolote la marekani lazima uiponde tu nani asiyekujua

Kwenye common sense inapokuja marekani huwezi tumia sababu una-personal hatred towards u.s
 
Wewe ni mropokaji unaichukia marekani sababu ya mambo ya kidini wewe ni muislamu na jambo lolote la marekani lazima uiponde tu nani asiyekujua
Nikikwambia wewe mropokaji ujue namaanisha
Sasa mimi kua muislam na kuichukia marekani wap na wap
Nikujuze tu wala siichukii marekani na wala sijawahi kuwachukia marekani ila nawachukia wapuuzi wachache wanaongoza marekani ikwemo wale wanaoona LGBTQ+ ni bora kuliko uke wenza kama wewe unawapenda hao pole yako
Pia mimi muislam kweli na najivunia sana sana sana kua muislam na naomba Allah anijaalie nife nikiwa muislam kama wewe sio muislam unakula hasara na hujachelewa kua muislam
Mwisho nikirejelea kwenye hoja mimi sio bbc mm sio reuters wala mimi sio MSM
Nenda huko mitandaoni kagugo utapewa majibu halaf uone kama nahao watoa majibu kama waislam kama mimi au wanaichukia marekani au wamesema ukweli
Uache uropokaji mdogo wangu hata google unashindwa kuitumia

Nilitaka kusahau najivunia sana sana sana kua muislam na nawaonea huruma sana mliochelewa kupata hii neema ya kua muislamu
 
Wewe unaichukua marekani kwenye kila uzi unaohusu marekani lazima uiponde hadi kwenye mambo ambayo yapo wazi
Sikuambii uisifie kwenye kila jambo hapana

Marekani na mapungufu yake yote ila muislamu anayeishi marekani ana uhuru mkubwa sana wa kuabudu kuliko anayeishi china
Na nikukumbushe hatuwezi wote kuwa waislamu sababu sio kila kitu kime-revovle around uislamu
 
Nimeichukia marekani kwenye uzi upi hemu ntajie nione
Ntaisifia ikiwa inastahili kama haistahili siwezi isifia
Haya masuala ya kuabudu china na Americant yamekujaje tena
Uislamu ni kila kitu kijana yaani hakuna kitu utakitaja kisihusiane na uislam kwa namna moja ama nyengine hakuna
 
Ww ni mpumbavu kwa hiyo huu uzi unaongelea masuala ya waisilamu wanaishije ndani ya Marekani au china au unaongelea masuala ya kiuchumi ya China kutokana na hoja za mleta mada?

Hivi nyinyi watu dini mbona zimewafanya kuwa wapumbavu kuasi hichi?

Mada hapa ni china ni nchi iliyo endelea au inayo endelea sasa hapa mambo ya sijui waisilam yameingiaje?
Mod ifikie hatua waanze kuwashughulikia wapumbavu kama nyinyi mnao haribu nyuzi za watu kwa kuingiza marumbano ya kidini.
 
Blunder gani mkuu, huo u kweli. China bado. Ila anajitahidi
Lakini hiyo 100 usd unaipataje ukiwa china
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…