China na Russia kamwe hawawezi kutumia hiyo chanjo ya mRNA ya kampuni ya Pfizer (Billgate) na BioNTech (Mjerumani): Kwa nini Afrika tulazimishwe?

Acha kupotosha, watu nani amelazimishwa kuwa ni lazima anunue dawa toka ulaya?!mbona algeria wao wameagiza URUSI?mbona nchi za ulaya nyingine zimeagiza chanjo ya URUSI?!!
 
Achana Na conspiracy theories.

Ukiamua ku base all ur arguments kwenye science sawa.

Lakini Mara science Mara hearsays huo no utoto Na inaonesha how weak your arguments are!

Chanjo duniani zimekuwepo for about a hundred years Na hizo conspiracy zilikuepo toka enzi hizo.

Na dunia haipo stagnant technology inabadilika usi demonize chanjo Mpya kisa hisia zako leta scientific proof kuwa hazifanyi kazi au madhara yake tutakuelewa.
 
Sio kwamba inapungua. Herd immunity!! population kubwa ya jamii ikisha kuwa infected Na virus kwa mda Fulani ataonekana yupo dormant.

But virus ni viumbe vyaajabu wanatabia ya ku Mutate zinatokea new strains ambazo zinaleta wave Mpya ya infection. So hata hii nayo itakuwa dormant tu soon hasa kwetu coz tupo clueless mtaani hatufati any healthy guidelines but the question inakuja at what cost? How many people will die ? We Will never know
 
Kwakweli nawaogopa sana wachina kwenye issue za medical
.

Wachina bado ni infants kwenye hizo nyanja.
 
Kwani na sisi tukitengeneza chanjo yetu tukwaambia waithibitishe kunatatizo? Hatutaki watulazimishe za kwao
 
We kama ni Dr aisee ni hasara kwa hili taifa
 
Reactions: BAK
Acha upumbavu wewe. Unaonekana hujaenda shule unaongea mambo ya mtaani tu. Unaijua 23 trillion dollars you fool !!! Unaongelea uchumi mzima wa marekani ambao umejengwa for hundreds of years.
 
mkuu kuna muda nawaza kama endapo watazuia kuingia kwenye nchi zao kisa tu hatujapata chanjo, wasitishe kila cha muhimu nchini kisa chanjo. unachosema ni sahihi na JIWE anajitahidi ingekuwa maraisi waliopita ni lazima tungekua LOCKDOWN.

 
Wewe hujabobea kwenye sayansi yoyote unaongea utumbo tu.

Na kama una PhD ( philosophical doctor) au MD ( medical doctor) hiko chuo walichokupa inabidi kifungwe Na kishtakiwe Kutengeneza janga mtaani.
 
Ila we jamaa ni kilaza beyomh measure.

Unaijua hata MRI scanner? unawezaje kufanya diagnosis inaofanywa Na hio machine kwa kumuangalia mtu
.
 
Huna akili.
 
Ila we jamaa ni kilaza beyomh measure.

Unaijua hata MRI scanner? unawezaje kufanya diagnosis inaofanywa Na hio machine kwa kumuangalia mtu
.
Kiazi sana huyu jamaa.
Na usikute yupo kwenye inner circle ya meko
 
Hata humu jamii forums maadui wa watanzania mpo, wewe na aina yako mpo wengi na nia yenu ni kuleta hofu kuu lakini hii vita tutaishinda sababu wazalendo wengi na watu wa Mungu tunao wengi na hii vita tutaishinda

Sent using Jamii Forums mobile app
Adui wa Tanzania namba moja niwewe.

Haujali hata maisha ya watanzania wenzako.


Usichanganye terms hizi "uzalendo" Na "ujinga"

Kuwa mjinga sio uzalendo.
 
What is ur education Mr/Mrs/Miss

Mada iliyopo hapa inahusiana vipi Na vita unayohisi tupo. By the way tunapigana Na nani Na kwasababj zipi
 
Mrusi ana chanjo yake. Mchina anayo ya kwake, kwanini watumie za watu wengine?

Iko wapi chanjo made from Tz?
watengeneza chanjo wa tanzania wamekua watunga sheria. ma profesal wanabishana na ma std 7 huko ddm
 
Kanunue kama watakupa na dawa zote nenda kanunue kwao urusi na china
Kwani wewe kiongozi unaponunua dawa ya mswaki ndipo unaponunua oil filter, makabati ya vyombo, uniform, visu, mashuka, nondo, sabuni, vitabu vya wanao nk!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…