FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 449
- 408
Afrika tungekuwa tunaongoza uchumi wa dunia basi kama tuna sifa hiyo. Bahati mbaya au kwa kukusudia tumeamua kuwa mzigo, hatubebeki.
Afrika tungekuwa tunaongoza uchumi wa dunia basi kama tuna sifa hiyo. Bahati mbaya au kwa kukusudia tumeamua kuwa mzigo, hatubebeki.
Angalia profile picture yangu utaelewa kama unajua kudadavua mamboKwanini africa uchumi uliokomaa kama wa marekani?
Alafu kuna uhusiano gani kati ya muafrika na kuwa na nguvu kiuchumi?
Unakwenda nje ya mada jibu niliyokuuliza.Angalia profile picture yangu utaelewa kama unajua kudadavua mambo
Haaa,kama nimeelewa tofauti kuhusu profile yako utanikosoa mkuu.Angalia profile picture yangu utaelewa kama unajua kudadavua mambo
Mwafrika ni rafiki mwema anajua kusaidia,vitani mkienda nae hasaliti pia ni comedian mzuri wakati wa shida hutoa tumaini Leo hii Waafrika wakisema wanahama Marekani na ulaya na kirudi afrika,wazungu watabaki wakiwa naamini kwa asilimia mia wazungu hawatawaruhusu ndio utajua umuhimu waoUnakwenda nje ya mada jibu niliyokuuliza.
In deedHaaa,kama nimeelewa tofauti kuhusu profile yako utanikosoa mkuu.
Mzungu kazaa na muafrica akapatikana chotara wa kiafrica mwenye akili,nguvu ya ushawishi na maarifa mpaka kuwa Rais wa US nchi ambayo super power tena yenye wazungu wengi kuliko weusi.
kwa maelezo hayo ya profile yako inamaanisha mchina mwenye juhudi,uwezo na maarifa akizaa na muafrica basi kitatoka kizazi kitakachokuwa na juhudi,uwezo na maarifa ambacho kitakuwa na asili ya AfriChina kitakachotumia rasilimali za Africa ipasavyo ili kuipiku U.S.
Still unatoa maelezo yaliyo nje ya mada yako mwenyewe sasa kuwa comedian na kwenda vitani kunaingiliana vipi na uchumi?Mwafrika ni rafiki mwema anajua kusaidia,vitani mkienda nae hasaliti pia ni comedian mzuri wakati wa shida hutoa tumaini Leo hii Waafrika wakisema wanahama Marekani na ulaya na kirudi afrika,wazungu watabaki wakiwa naamini kwa asilimia mia wazungu hawatawaruhusu ndio utajua umuhimu wao
Kati ya mzungu na huyo muafrika waliyezaa huyo chotara nani aliyemzidi mwengine?Haaa,kama nimeelewa tofauti kuhusu profile yako utanikosoa mkuu.
Mzungu kazaa na muafrica akapatikana chotara wa kiafrica mwenye akili,nguvu ya ushawishi na maarifa mpaka kuwa Rais wa US nchi ambayo super power tena yenye wazungu wengi kuliko weusi.
kwa maelezo hayo ya profile yako inamaanisha mchina mwenye juhudi,uwezo na maarifa akizaa na muafrica basi kitatoka kizazi kitakachokuwa na juhudi,uwezo na maarifa ambacho kitakuwa na asili ya AfriChina kitakachotumia rasilimali za Africa ipasavyo ili kuipiku U.S.
Ili Uchumi wa Marekani utikisike basi ni mpaka wanawake wa China watakapokubali kuzaa na waafrika ili kupata kizazi chenye nguvu na maarifa kama ilivyokuwa kwa wazungu miaka mingi iliyopita,ila wakijitenga wao kama wao si rahisi
Deni ni kubwa mpaka mchina anahisi kulipwa ni ndoto.Hivi marekani ashamaliza deni lake kwa mchina? Au zinaongezeka kila leo?
Jibu ni mzungu ndiye aliemzidi muafrica.Kati ya mzungu na huyo muafrika waliyezaa huyo chotara nani aliyemzidi mwengine?
Kama mzungu amemzidi muafrika na kupata huyo chotara basi akizaa mzungu kwa mzungu huyo mtoto watakaempata basi atakuwa mara mbili ya huyo chotara na hivyo kufanya point ya mleta mada isiwe na mashiko.Jibu ni mzungu ndiye aliemzidi muafrica
Ndo maana mleta mada nahisi akaleta wazo la uchakachuzi wa hiki kizazi cha pure African.Piga uwa, sehemu yoyote aliepo mtu mweusi lazima kuwe na changamoto. Mtu mweusi sio mtu wa kazi na kujituma, kwanza huwezi linganisha mchina na mwafrika kwa akili na uchapakazi, au huwezi linganisha mchina na mzungu, Mchina namba ingine iyo.