China, adui wa maendeleo na Demokrasia Tanzania! Balozi avaa kofia ya CCM

Kwa hiki kinachofanyika China inakuwa nchi ambayo inavuruga kabisa Demokrasia yetu kwani inawezekana kutokana na mikataba ya siri waliyosainishana na Kikwete hawa wachina watafanya kila hira na fitina kuhakikisha wanavuruga uchaguzi wetu 2015 kwa kuisaidia CCM kwa nguvu zote ili waendelee kuvuna rasilimali zetu na kuijenga nchi yao.
 
Wakuu
Hawa CCM wote wamejitoa ufahamu na kuifanya hii nchi kuwa kampuni lao binafsi.Wamefikia hatua ya kuamua kuwa wanaweza kufanya watakalo.Wakae wakijua kuwa uvumilivu upo karibu sana kutuishia na tutawakabili kwa njaa.
Nina uhakika huyo balozi kavalishwa hiyo kofia kutokana na utashi wa Kinana. Huyu Kinana anaifanya hii nchi ni mali yake na anaweza kufanya atakalo..Ushenzi na uwendawazimu huu haukubaliki kamwe..Amekuwa akifanya fisadi kubwakubwa zinazoangamiza Taifa bila kuogopa!
 
wale ni wakongwe wa siasa, wanajua nini CCM inafanya kwa watanzania, na kushangaa madudu yanayofanywa na CHADEMA.
 
yule siyo balozi wa china kama walivyomtambulisha ni mfanyakazi wa kampuni ya uchimbaji madini,nawaletea ishaidi muda si mrefu.usanii ile
 
Nimeshtuka kidogo kumwona balozi wa China nchini TZ ktk mkutano wa CCM akiwa na Kinana(mzee wa Tembo).
Balozi huyo alikuwa amevalia kofia ya CCM na akapewa nafasi ya kuongea kidogo ktk mkutano wa Chama cha Chakachua Kila kitu,mkutano huo ulikuwa unafanyikia mkoani Shinyanga.

Wadau nisaidieni ni sahihi?
Au anafanya hivyo ili wanawe WAENDE SHULE km Nkamia alivyokuwa anafanya BBC na sasa BUNGENI?
 
Sijui uambiweje kwenye mada yako hii. Kalale tu wewe unampiga majungu hata mchina.
 
Kinana yupo Kazini michupi inawapwaya, nyie Piganeni Bungeni Chama kipo kutekeleza Ilani, We umeona Kapelo la CCm kavaa Mchina umekimbilia kuanzisha Thread, Mmeanza kuona 2015 karibu mmeanza kukwamisha Katiba ili uchaguz uchelewe muendelee kula Ihsaan ya Jakaya, 2015 Tukimuaga Jakaya Ikulu ndio Mwisho wenu mkimiss nenden mkale nae mananasi Msoga!
 
Nimeshtuka kidogo kumwona balozi wa China nchini TZ ktk mkutano wa CCM akiwa na Kinana(mzee wa Tembo).
Balozi huyo alikuwa amevalia kofia ya CCM na akapewa nafasi ya kuongea kidogo ktk mkutano wa Chama cha Chakachua Kila kitu,mkutano huo ulikuwa unafanyikia mkoani Shinyanga.

Wadau nisaidieni ni sahihi?
Au anafanya hivyo ili wanawe WAENDE SHULE km Nkamia alivyokuwa anafanya BBC na sasa BUNGENI?

ukiona mada yako haina wachangiaji ujue umepiga pori.
 
mkuu mbona hushtuki wewe ukiwa umevaa nguo yenye bendera ya marekani
 
Huyu balozi wa China arejeshwe kwao mara moja! amekiuka sheria za diplomat..Huyu balozi ni mjinga na mpuuzi.
Anatumiwa na wehu kama Kinana na Nape kuficha uhuni wa CCM.Hili alilofanya halivumiliki!
 
Kinana yupo Kazini michupi inawapwaya, nyie Piganeni Bungeni Chama kipo kutekeleza Ilani, We umeona Kapelo la CCm kavaa Mchina umekimbilia kuanzisha Thread, Mmeanza kuona 2015 karibu mmeanza kukwamisha Katiba ili uchaguz uchelewe muendelee kula Ihsaan ya Jakaya, 2015 Tukimuaga Jakaya Ikulu ndio Mwisho wenu mkimiss nenden mkale nae mananasi Msoga!

inaruhusiwa?
 
Avae tu hata akitaka kadi ya uanachama wampe tu. Ila ukweli utabaki pale pale kwamba CCM ni janga kwa nchi hii!
 
mimi nilishuhudia viongozi wa chama kinacho tawala ujerumani kwenye mkutano wa chadema walitambulishwa na walikuwa wamekaa china lakini walikuwa awajavaa gwanda hii ya ccm kiboko tena hatari sana wataalamu watufafanulie hili na ikiwezekana kama atakuwa amefanya makosa afukuzwe mara moja
 
hata mi nimeona ila sikuamini nilichokiona kweli Ccm imefikia hatua mbaya sana huyu balozi ni mpunzi,kiukweli ndiye balozg wetu wa kichna..
 
alichofanya balozi wa china ni makosa makubwa na mimi nimeona hiyo taarifa ya habari ya itv na star tv mambo ya siasa ni ya ndani ya chama kwa maana nyingine chama kingine kikishinda ina maana uhusiano wetu na china utakufa
Hao wachina wanafanya hivyo kwa kuamini kuwa ccm watatawala milele na pia chini ya uongozi wa ccm wachina wamefaidika sana na rasilimali za nchi hii nitashanga kama viongozi wa vyama vingine watakaa kimya
 
Back
Top Bottom