China aache uongo hana uwezo wa kujenga hospitali kwa siku sita

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,945
Aman iwe nanyi.

Huo ndo ukweli China aache kudanganya watu na asidhan kuwa kila mtu ni nyumbu.

China hana uwezo wa kutumia siku sita kujenga hospital. Labda ajenge hospital ya mabua.

Haya machuma chuma yake yana wadanganya mapopoma tu kuwa atatumia siku hizo.

Jana ndio kaanza lakin mpaka leo hajasimamisha hata msingi wa tofali au jiwe.

tapatalk_1580227102095.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aman iwe nanyi

Huo ndo ukweli china aache kudanganya watu na asizan kuwa kila mtu ni nyumbu

China hana uwezo wa kutumia siku sita kujenga hospital

Labda ajenge hospital ya mabua

Haya machuma chuma yake yana wadanganya mapopoma tu kuwa atatumia siku hizo

Jana ndo kaanza lakin mpaka leo hajasimamisha hata msingi wa tofali au jiwe

View attachment 1338486

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaweza labda wakutane na kikwazo, kuta zinakuwepo tayari wanaunganisha na bolt.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China kwenye ujenzi wao wana siri saana...hua hawataki siri ivuje....nakumbuka walitengeneza daraja kwenye mto wenye mamba ucku...na hakuna aliyejua mpk leo walijengaje

Sent using Jamii Forums mobile app
hakika mkuu. hawa wachina kuna sehemu tulishawahi fanya nao kazi walikuwa wanajenga barabara na ni sehemu hatari sana cha ajabu pale kambini palikuwa na vichina vizeee hata kutembea haviwezi na vinatolewa usiku tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchina anayo dawa anaweka kwenye cement. Halafu cement inakuwa inakauka haraka.

Pia mchina anayo kemikali anaweka kwenye cement(saruji) ambapo anaweka cement kidogo ila inakuwa na nguvu zaidi wanachanganyia kwenye mitambo ya kukoroga zege.Ndio maana kwa sisi nchi maskini mchina anaweza kututengenezea kwa bei yoyote na faida kubwa sana akapata.
 
Aman iwe nanyi

Huo ndo ukweli china aache kudanganya watu na asizan kuwa kila mtu ni nyumbu

China hana uwezo wa kutumia siku sita kujenga hospital

Labda ajenge hospital ya mabua

Haya machuma chuma yake yana wadanganya mapopoma tu kuwa atatumia siku hizo

Jana ndo kaanza lakin mpaka leo hajasimamisha hata msingi wa tofali au jiwe

View attachment 1338486

Sent using Jamii Forums mobile app
Jengo gan lilichukua muda mfupi zaidi???

Uwezo anao, nia anayo na sababu anazo. Hakuna kinacho shindikana kwa RED ARMY. Walisha fanya makubwa zaidi ya hilo.
 
Kapigwa virus kabaki kakodoa macho tu

Atafanya vitu gan vingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Bro hivo virus ni janga tena linakuja ku attack hapa tunazungumzia vitu ambavyo viko planned anajua anachofanya mchina yuko bado yuko na man power ya kutosha, resources za kutosha pia we si umeona excavators zilivyozagaa hesabu yake ni kama zote za dar hata hivyo virus kama vingekua vinakuja na taarifa tusingeona haya yote.
All in all subiri siku ziishe ndo uanze kukosoa
 
Aman iwe nanyi

Huo ndo ukweli China aache kudanganya watu na asidhan kuwa kila mtu ni nyumbu

China hana uwezo wa kutumia siku sita kujenga hospital

Labda ajenge hospital ya mabua

Haya machuma chuma yake yana wadanganya mapopoma tu kuwa atatumia siku hizo

Jana ndio kaanza lakin mpaka leo hajasimamisha hata msingi wa tofali au jiwe

View attachment 1338486

Sent using Jamii Forums mobile app
Waliweza kujenga Ule ukuta wao miaka 3000BC na hawajaacha kujenga. Yes wanaouwezo huo.
 
Back
Top Bottom