Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

6:2 - Yeye ndiye aliye kuumbeni kwa udongo, kisha akakuhukumieni ajali, na muda maalumu uko kwake tu. Tena baada ya haya nyinyi mnatia shaka.

Bila shaka haya ni maneno ya Muhammadi.
Ingawa hajaambiwa popote "sema"
 
6:2 - Yeye ndiye aliye kuumbeni kwa udongo, kisha akakuhukumieni ajali, na muda maalumu uko kwake tu. Tena baada ya haya nyinyi mnatia shaka.

Bila shaka haya ni maneno ya Muhammadi.
Ingawa hajaambiwa popote "sema"
Koran wanasema ni maneno ya Allah ila ukisoma yenyewe inampinga hivyo

Ukisema moja kwa moja ni Allah kaongea , inabidi ukubali Kuna Mungu na Allah alikuwa ana refer kwake
 
M nawashangaa sana walokuw sio Waislamu kuujadili Uislamu wakati ata hawaujui
Yni ni sawa na engineer kwenda kumfanyia operation mgonjwa
Msipende kuuongelea Uislamu ili hali hamuujui kma mnataka kuuongelea Uislamu kajifunzeni kwanza hlf muje kuongea mna humu ndani muislamu anojielewa hawezi kubishana na nyinyi ili hali ni watupu kabisaa
Mana nyinyi mumemezeshwa baadhi ya Aya ili muudhihaki Uislamu lakini Laiti Uislamu usingekua Dini ya haqqi leo hii tusingeusikia kabisaa mna toka enzi Unapigwa vita lkn cha kushangaza watu wanazidi kusilimu kila uchao.

Ukikataa kwa chuki zako tuu lkn huo ndo ukweli.
 
Shida wewe unahubiri badala ujibu maswali yanayokuwa raised

Saidia hapa huyu alieongea ni Allah au Muhammad

Kuna kitu kinaitwa
1st person - yani Mimi au sisi
3rd person -kuongelea mtu mwingine ambae sio wewe, yani wao, yeye ,yakwao n.k

Hapa allah anaongea moja kwa moja na anatumia 3rd person ku reffer kwa Mungu , allah anasema kuna Mungu ndio aliye kuumbeni
6:2. Yeye ndiye aliye kuumbeni kwa udongo,....
 
Nenda post number 440 msaidie mwenzako, anachomoa mistari kutoka vitabu vya watu anadai ni injili ya issa wa Allah
 
So waafrika na mungu gani aisee kama huyu wa kiarabu hamna,wakiyahud hamna... Nipe direction chief...
Omba Neema! kwa imani! Mungu wa kweli utamjua!! akuonyesha njia ya kweli na uzima! siyo km huyo wa kwako! ukisema wayahudi una maana gani? Maana wayahudi wa kweli walipotea mpaka leo hawajulikani!! kwa sababu hii kila mtu! kila Dini!, kila Taifa! wanajiona ndiyo wayahudi!

kwa muktadha huu sikutaja Dini ya wayahudi!! na weye ukitamka wayahudi sema wayahudi gani ambao mie nimewataja! acha mihemuko! kumbuka pia kuwa siyo Waafrica wote! wana mjua Mungu wa kweli! wako chaka mbaya! Mkuu!

na Mungu hutamjua kimzaha mzaha tuu! km ivi!....... funga na kuomba kwa dhati ya Moyo! sikio lake si zito!
 
Umeangalia video lakini!
 
Umeangalia video lakini!
  • Hakuna point , kasema silifutwa ila unyonyeshaji ulikuwepo
  • Nani kafuta na wapi kwenye koran tunasoma zilifutwa, Muhammad kafa kaziacha
  • Aisha anasema allah alipunguza kunyonyesha mtu mzima kutoka mara 10 kwenda mara 5 na sio kufuta
Sahih-Muslim 1453e:
....I see in the face of Abu Hudhaifa (the signs of disgust) on account of entering of Salim (in the house), whereupon Allah’s Messenger said Suckle him. She (Sahla bint Suhail) said: He has a beard. But he (again) said: Suckle him, ....

Verse zilikuwepo
Sahih Muslim 1452b
...There was revealed in the Holy Qur'an ten clear sucklings, and then five clear (sucklings).
Sahih Muslim 1452a
'A'isha (Allah be pleased with, her) reported that it had been revealed in the Holy Qur'an that ten clear sucklings make the marriage unlawful, then it was abrogated by five sucklings and Allah's Apostle (ﷺ) died and it was before that time (found) in the Holy Qur'an (and recited by the Muslims).
 
Vipi Maulamaa wanasemaje kuhusu hii Aya ya.
Sucklings,
Hii 5 Sucklings
 
Vipi Maulamaa wanasemaje kuhusu hii Aya ya.
Sucklings,
Hii 5 Sucklings
Wanatofautiana maoni,
Ila aisha alikuwa mjanja kawapanga dada zake mlangoni ndio wafanye sucklings
..... A'isha umm al-muminin sent him away while he was being nursed to her sister Umm Kulthum bint Abi Bakr as-Siddiq and said, "Suckle him ten times so that he can come in to see me."
Salim said, "Umm Kulthum nursed me three times and then fell ill, so that she only nursed me three times. I could not go in to see A'isha because Umm Kulthum did not finish for me the ten times." Book 30, Hadith 7
 
Wapi nimekiri hilo ? Husomi ninachokiandika ?

Hapo Mtume amenukuu maneno kama yalivyo.

Hujawahi kuona aya katika Qur'aan inamzungumzia Mtume kabisa ila anaewasilisha aya hiyo ni Mtume mwenyewe ?

Soma mfano wa aya hii :

MWENYEZI MUNGU amekwisha sikia usemi wa mwanamke anaye jadiliana nawe juu ya mumewe, na anamshitakia Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu anayasikia majibizano yenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kuona. (Al-Mujaddallah : 1)

Hii ndiyo Qur'aan maneno ya Allah,mtume anayasema kama alivyoteremshiwa bila kupunguza wala kuongeza. Ukiangalia au kusoma sababu ya kushuka aya hiyo ni tukio la mwanamke aliyeitwa Khawlah bint Thaalab alipoenda kumshtakia mumewe wa Mtume wa Allah. Ndiyo aya ikashuka ikisema hivyo.

Kwahiyo maneno ni ya Allah anaye yawasilisha ni Mtume ni kama ilivyo kwa Taurati,Zaburi, Injili na Qur'aan.
 
SaWa Ni maneno ya Allah na anaomba mwenyewe Mungu awaangamize wayahudi na wakristo, ndio point yetu ilipo
 
Ulianzishwa na Paulo na haukuwepo kipindi cha nabii Issa (Yesu).
Unatakiwa ukiongea kitu weka na reference , angalia ninapo weka claim lazima na reference iwepo ndio maana unaona waislamu humu wananiogopa maana naweka maandiko Yao , wenyewe wanapenda mtu ambae hajui kabisa
 
Ulianzishwa na Paulo na haukuwepo kipindi cha nabii Issa (Yesu).
Alafu bado una deni la swali langu, Muhammad alikufa Aya za kunyonyesha mtu mzima Allah Ali obligate kutoka 10 kwenda 5 badae tunaona kwenye Koran hazipo nani alizifuta?
 
SaWa Ni maneno ya Allah na anaomba mwenyewe Mungu awaangamize wayahudi na wakristo, ndio point yetu ilipo
Allah haombi. Jambo ambalo msilo lijua na huenda sababu hamsomi. Aya nyingi katika Qur'aan zimeshuka kulingana na matukio,mfani wa aya niliyo kunukulia hapo juu. Ilivyoshuka ikatoa muongozo na kile kikicho jiri.

Ndiyo maana tunapofasili aya huwa tunaangalia sababu ya kushuka kwa aya,tunaangalia Mtume aliwaelezea vipi aya hiyo maswahaba zake na maswahaba zake waliifanyia kazi vipi aya husika na haya yote yamedhibitiwa. Kwahiyo Mtume anapoletewa aya analetewa kama ilivyo na anaiwasilisha kama ilivyo.

Kwahiyo hicho kilicho kuja ni maneno ya Allah na Allah haombi na unatakiwa urejee ujue sababu ya kushuka kwa aya hiyo.

Ndiyo maana huwa tunawauliza mmesoma tafsiri za Qur'aan sababu Tafsiri nyingi huwa zinatuonyesha sababu za kushuka kwa aya husika.
 
Sawa ni maneno ya Allah na Allah anasema mwenyewe moja kwa moja , mwenyezi Mungu awaangamize

Kumbuka Aya maneno Allah aliyatamka kabla ya muhammad kuwepo
 
kwa akili ya kawaida tu, Mungu yupo na atahukumu siku atakayo ona inafaa (siku ya kiama)
Yaaani wewe unaonaje mtu amdhulumu mtu mwingine pengine masikini kabisa mali yake mf: shamba lake, mahakamani, Kuiba nk
halafu iishie hapo tu?? lazima atakuwepo hakimu wa kuhakikisha aliyedhulumu anajutia hicho kitendo na huyo ndio Mungu.

Mfano mwingine: Mtu apewe hela za msaada za kuchimba kisima mahala pasipo kuwa na maji au Pengine mtu ana duka lake ila anapunja watu kwenye mizani kwa maksudi, haiwezi kabisa kuishia hapo? lazima ipo siku atahukumiwa kwa hayo makosa ya wizi;
na mifano mingine mingi ambayo sisi hapa duniani tumeshindwa kutoa haki; hivyo hiyo haki ataitoa Mungu mwenyewe siku ya kiama
 
Unatakiwa ukiongea kitu weka na reference , angalia ninapo weka claim lazima na reference iwepo ndio maana unaona waislamu humu wananiogopa maana naweka maandiko Yao , wenyewe wanapenda mtu ambae hajui kabisa
Kwanza suala la rejea kwangu siyo tatizo na ni rahisia sana,lakini kwa upande wako unatoa rejea si kwa hoja sahihi hili ni tatizo.

Rejea vitabu vifuatavyo.

1. Al Jawab sahihi liman badala dini al Masihi (Jibu lililo kuwa sahihi kwa yule aliyeibadilisha dini ya Masihi) kitabu hiki kimeandikwa na Shaykhul Islamu Ibn Taymiyyah.

2. Al Adiyaan,wa al firqa wa al Ahzab wa Al Madhahab al Mu'aswira hiki kitabu kinaelezea historia ya dini zote,makundi na madhehebu ya sasa.

3. Dini ya kweli ya Mwenyezi Mungu muandishi Dr. Bilal Philips.
 
Alafu bado una deni la swali langu, Muhammad alikufa Aya za kunyonyesha mtu mzima Allah Ali obligate kutoka 10 kwenda 5 badae tunaona kwenye Koran hazipo nani alizifuta?
Hili nilishakujibu sijaacha kiporo.

Niwekee hizi aya 10 na uniwekee hizo aya 5 ambazo zilikuwepo na sasa hazipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…