yello masai JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 3,921 Reaction score 4,178 Jul 3, 2025 #1 Wazee wa kazi kuna chimbo la madini adimu lipo hapa sinza opposite na Mlimani City, jirani na Survey discipensary. Ni sehemu hizi nyumba zipo kama makazi ya watu tu. Mwenye details zozote kuhusu hili chimbo alete tuone kama kunachimbika au vp.
Wazee wa kazi kuna chimbo la madini adimu lipo hapa sinza opposite na Mlimani City, jirani na Survey discipensary. Ni sehemu hizi nyumba zipo kama makazi ya watu tu. Mwenye details zozote kuhusu hili chimbo alete tuone kama kunachimbika au vp.
S Soulja boy JF-Expert Member Joined Oct 3, 2015 Posts 4,802 Reaction score 8,413 Jul 3, 2025 #2 Mzee c upo site we ndounatakiwa utupe detail.
Boveta JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,301 Reaction score 4,005 Jul 3, 2025 #3 Acha uzinzi mkuu
PSL god JF-Expert Member Joined Nov 18, 2023 Posts 12,573 Reaction score 9,086 Jul 3, 2025 #4 Pumbavu salimia watu vizuri upewe full details
Bunda Kwet JF-Expert Member Joined Feb 24, 2025 Posts 274 Reaction score 392 Jul 3, 2025 #5 Kwa hali hii kweli No reform no election, na katiba mpya kweli zitafanyiwa kazi?
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,358 Reaction score 83,354 Jul 3, 2025 #6 Unatoa tag ili watu wakanunue +
F favouredman Member Joined Nov 15, 2024 Posts 89 Reaction score 238 Jul 3, 2025 #7 Vijana kama hawa, wana mchango mdogo sana katika maendeleo ya Taifa - JPM
NYOLODO JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 12,205 Reaction score 27,943 Jul 3, 2025 #8 Kuna mishangazi tu pale, nilkuwaga ndo kona zangu za kushusha kipondo kipindi niko chuo
M Machaare JF-Expert Member Joined Aug 11, 2022 Posts 1,028 Reaction score 2,504 Jul 3, 2025 #9 Mitano tena Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
yello masai JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 3,921 Reaction score 4,178 Jul 3, 2025 Thread starter #10 Boveta said: Acha uzinzi mkuu Click to expand... Muhimu sana
Kelvin35 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2023 Posts 1,199 Reaction score 1,833 Jul 3, 2025 #11 Huyu ndo mtaalamu wa machimbo Pdidy
PSL god JF-Expert Member Joined Nov 18, 2023 Posts 12,573 Reaction score 9,086 Jul 3, 2025 #12 Kalaga Baho Nongwa said: Kuna mishangazi tu pale, nilkuwaga ndo kona zangu za kushusha kipondo kipindi niko chuo Click to expand... Sema wana matako mzee
Kalaga Baho Nongwa said: Kuna mishangazi tu pale, nilkuwaga ndo kona zangu za kushusha kipondo kipindi niko chuo Click to expand... Sema wana matako mzee