Mangala boi
Member
- Oct 18, 2025
- 52
- 172
Pale kume tulia sana kishua
Hizo bei si rafiki kwa matajiriHata hilo ni la matajiri
Nakunywa na nyagi mm nakunywaga konyag kubwa na castle liteUnakunywaje bia ya kitoto hiyo?
Wameweka local lakin kuna wine za matajiriHizo bei si rafiki kwa matajiri
Kumbe unapajua mkuuPale kume tulia sana kishua
Sawa, as long as umetuhakikishia hakuna machokoraa😎Wameweka local lakin kuna wine za matajiri
Ukute wewe ndie chokoraa😄Sawa, as long as umetuhakikishia hakuna machokoraa😎
Siku ukija tu mim nitakuwa mwenyeji wako tutalala pamoja uondoke ukiwa na mwepesi.Sawa, as long as umetuhakikishia hakuna machokoraa😎
Sasa na wewe si ungeianzishia thread yakoThe Voice tz nayo ipo moto sana maana unaweza kudhani upo mbele huko kumbe ni hapa hapa Bongo.
Ndio natafuta machokoraa wengine tukawaibie matajiri simu😊Ukute wewe ndie chokoraa😄
Ondoa shaka kabisa! Mambo mepesi haya..Siku ukija tu mim nitakuwa mwenyeji wako tutalala pamoja uondoke ukiwa na mwepesi.
NB tutatumia kitita chako mim zangu zipo bank
HahahahahaNdio natafuta machokoraa wengine tukawaibie matajiri simu😊
Anazani anakutega kumbe anaingia king mwenyewe😁Ondoa shaka kabisa! Mambo mepesi haya..
Kwamba kila jambo ni la kuanzishia uzi kumbe mkuu?Sasa na wewe si ungeianzishia thread yako
Atakubali!😎Anazani anakutega kumbe anaingia king mwenyewe😁
8000Nusu kilo ya kitimoto shilingi ngapi?
Hakujui huyo, mpe show showAtakubali!😎