Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 7,801
- 15,165
Picha
Ukija usisahau kumwambia mhudumu aniletee tatu za barid mkuuWiki ijayo Nina trip ya kuja Dar ntajaribu nipitie hapo nione yaliyomo yamo
Za baridii aina Gani safari barimi, Pepsi?Ukija usisahau kumwambia mhudumu aniletee tatu za barid mkuu
Picha zinagomq ingia google andika the embasy hall mbez kwa msugurKapicha mkuu!
😄😄usiwe na hofu nitafanya tano kabisaUkija usisahau kumwambia mhudumu aniletee tatu za barid mkuu
Castle liteZa baridii aina Gani safari barimi, Pepsi?
Hapo utatisha sana mm kazi yangu ni kukusifia tu na kukuunganisha na mshangaz wa kukuliwaza😄😄usiwe na hofu nitafanya tano kabisa
Bei rafiki kabisa kwa maisha yetu ya kila siku.Elfu tisa ukiweka na ugali ten
Karibu mremboDalali mkuu kwenye 1&2
KabisaBei rafiki kabisa kwa maisha yetu ya kila siku.
Sitaki gono mkuu, nitapiga kitimoto rosti na ugali nakusepa zanguHapo utatisha sana mm kazi yangu ni kukusifia tu na kukuunganisha na mshangaz wa kukuliwaza
Hahaha acha uoga hii haina gonoSitaki gono mkuu, nitapiga kitimoto rosti na ugali nakusepa zangu
Ukiweka machimbo ya matajiri unitagKari
Karibu mrembo
😄😄 siyo uoga ni self defense mechanismHahaha acha uoga hii haina gono
Hapo bila shaka upo kanda ya ziwa😄😄 siyo uoga ni self defense mechanism
Hata hilo ni la matajiriUkiweka machimbo ya matajiri unitag
Southern highlandHapo bila shaka upo kanda ya ziwa
Unakunywaje bia ya kitoto hiyo?Castle lite