Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,379
- 2,855
- Thread starter
- #41
Kabisa Mzee...Nimeingia, n shida zangu zote nikazisahau. Kama Ulaya tu[emoji2]Pestana ni kiboko aisee ile design lazima aliiba mahali huko nje.. pako tofauti sana na pub nyingi za bongo na jamaa kaweka hela hapo hiyo counter balaa.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] PONYAKU. ngoja niinuke hapa.
Nimeulizia Pestana, haiko mbali na hapa Waswanu pub.
Ndo naanza kwenda Pestana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda ulivyoenda, wakatukumbuka Waswahili[emoji2] ...Nilitaka kufikiri Uswazi mwisho Kilimani[emoji2]Kabisa Mzee...Nimeingia, n shida zangu zote nikazisahau. Kama Ulaya tu[emoji2]
Sasa wanazingua, hat nyimbo ya Dangote sijaisikia tangu nimeingia[emoji134] [emoji24]
Ni Lugha za Malkia tu[emoji134] [emoji24] [emoji24] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Itategemea na aina ya biashara, pia location ni muhimu sana kujua unataka maeneo yapi kutokana na aina ya biashara unayo taka kuweka.Wazee VIP chumba za biashara kwa hapo Dom pembezon mwa mji ni bei gan chumba cha kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitto palisha choka sana mkuu, bora hata uende Malaika Anex
Mkuu.... Karibu sana Dodoma