Chimbo gani zuri lililochangamka Dodoma?

Geniustin

JF-Expert Member
Mar 15, 2013
4,379
2,827
Wakuu, heshima zenu...Naulizia chimbo ninaloweza kupata vinywaji na nyama choma DODOMA.

Chimbo lilipo mitaa ya kati mjini au na maeno ya karibu.

Lililochangamka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa muwazi. Beer na nyama choma tu?
Hata watoto wazuri Mzee .Hao ndo attraction kabisa.
Kusuuza macho na mengineyo

Ila Sijawahi kuona kama Sinza... Ambiance, Kona Bar...Pale ni mwisho wa maelezo, wako wawazi na biashara yao,hata ukiwa domo zege, wanajitangaza wenyewe kwa midomo yao nitarudi tena siku moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata watoto wazuri Mzee .Hao ndo attraction kabisa.
Kusuuza macho na mengineyo

Ila Sijawahi kuona kama Sinza... Ambiance, Kona Bar...Pale ni mwisho wa maelezo, wako wawazi na biashara yao,hata ukiwa domo zege, wanajitangaza wenyewe kwa midomo yao nitarudi tena siku moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka hilo ndiyo ilikuwa issue yenyewe. Mengine ilikuwa mzunguko tu.
 
Back
Top Bottom