Chimbo gani zuri lililochangamka Dodoma?

Chimbo gani zuri lililochangamka Dodoma?

Inakesha au Saa Sita Kufuli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea...siku zingine piraa linapita waswanu... Rise up.. Rainbow.. Pistana.. Platnum itategemea... Kwa kuwa Leo monday sidhani watazidi muda...kuanzia jumatano alhamisi huko huwa mpaka saa 8-10.. Ukiona muda elekezii muulize mhudumu...counter wakiwa wanafunga unajinunulia stock kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pestana ni kiboko aisee ile design lazima aliiba mahali huko nje.. pako tofauti sana na pub nyingi za bongo na jamaa kaweka hela hapo hiyo counter balaa.
 
Back
Top Bottom