Chiluba and Kagame dancing on the mass graves of Angolans!

Chiluba and Kagame dancing on the mass graves of Angolans!

Nguruvi3, koba's mind is kind of impared. He never argue constructively instead wht he is good at is hurling insults where he gets well nested in day light truth...
Kina Kagame learned it the hard way,negotiating na watu kama nyie is a disaster,dawa yenu ni kichapo mpaka msalimu amri wapuuzi nyie,hakuna mtu anakaaa chini na ideologue killers kupata amani...ni kichapo tuu mpaka mkubali kuishi kwa amani na kuheshimu wengine!!
 
True! no one should fall in his trap to inject irrelevant topic for the sake of distractions.
We need be consistent with the message loud and clear.
Paul Kagame your hand is tainted with blood from Kigali, Kivu, Lubumbashi to Kabinda Angola.

President Sata has apologized on behalf of his country! we know you will not apologize because ruthless and uncouth behavior is who you're.

You may continue with massacre in Kigali, but the time has come to face the music in DRC then you will carry the full weight of opposition in the soil of Rwanda with no blood diamond
Kagame you will be on your toes every single day, finally you will retire in exile.

Kagame you can easily be fixed in open field or behind the curtain, we know you better than you know yourself.
Say what you say lakini kichapo mtakipata mpaka msalimu amri na kuacha kushambulia wengine just because they are tutsi,hayo yote unayoandika humu is just stupid propaganda,and FYI you already lost...just give it up!!
 
Huna akili wewe zaidi ya ideologue yako tuu ya kipumbavu,sina muda wa kupoteza na loosers kama wewe...just go away!!!

Wewe hilo li XXXXXL limekudatisha kabisa! Akili zimeisha kilichobakia ni kisamvu tu.
 
Say what you say lakini kichapo mtakipata mpaka msalimu amri na kuacha kushambulia wengine just because they are tutsi,hayo yote unayoandika humu is just stupid propaganda,and FYI you already lost...just give it up!!
Well, where is your point brother! You don't need to lose tamper.

You need to express your opinion in civil manner. I guess you're a human like any other unless you prove to share genes with vampire

There is no question of hutu or tutsi in this discussion. The subject is on evil act by single man who is uncouth and ruthless PK.

Buyoya tried his arrogance and aggression against Tanzania.
He was silenced within three days, the forth day he flew to Dar es Slaam to ask for the forgiveness.

For Kagame the equation is simple, empower Rwandans who are tired of being under the tyrannical rule. Period.

All in all you have failed miserably to defend Kagame's involvement on the mass graves in Angola.
It's inconceivable that one blood sucker could traverse the tropical forest of Congo to the Kalahari desert to commit murder to the innocent civilians in Angola.

As if it is not enough the same monster who harbors international terrorist the likes of Nkunda is causing instability in the region.

FYI Benjamin Mkapa and Koffi Annan gave Kagame an ultimatum to arrest Nkunda within a week.
Kagame bowed to the pressure unconditionally.
Idd Amin could not do it, I wonder if Kagame did not learn anything.

 
say what you say lakini kichapo mtakipata mpaka msalimu amri na kuacha kushambulia wengine just because they are tutsi,hayo yote unayoandika humu is just stupid propaganda,and fyi you already lost...just give it up!!
sasa wewe unafikiri sote tuna utukuza ukabila kama ninyi wanyarwanda, eti watusi, tuwachukie watusi ili iweje?. Kabila zaidi ya 120 ziko pale kwa amani! Wapenda damu mmetibuana tukawapokea kwa garama kubwa mkaishi kwetu, amani yenu tukaitafuta mkaipata. Bloodphilic,mlozoea vya kunyonga mkaanza kugema ya wa congo!!!!!!!!!!!! Amani yenu ni batili kama inajengwa kwenye danu za wakongo!
 
Mkuu Kabaridi mbona wanasema Savimbi aliponzwa na utumiaji wake wa simu ya Satellite, nafikili satellite za GLONASS za Kirusi ndizo zilim-track down nakutoa cordinates za mahali alipojichimbia kilicho fuata ni historia. Ndio maana Osama alikuwa hatumii kabisa simu - ziwe za Satellite au Telestrial he was clever Savimbi was arrogant and careless he paid a high price eventually. Historia hufundisha kwamba watu wenye ROHO mbaya, wauuaji na wakatili mwisho wao utokea ghafla bin VUUU!

No I do not think Savimbi was arrogant, on the contrary, ... while savimbi was working for the US/CIA, W. Germany, and isreali, south Africa; and roberto working for russia and china, cuba, both had a cordial relationship na rebel mwenzake while working for the interests of two divergent interests of the international community.

It is Roberto who sponsored savimbi na dola $50,000 kuelekea ulaya kufanya degree ya kisayansi, but savimbi opted out to venture in political science. his death came about when he was ambush by Russian sponsored MPLA mercenaries either in his own hotel room...The same way Patrice lumumba was beaten to death by CIA sponsored politicians...
Halafu ethnic composition of the UNITA movement was mainly the Omvimbundu minority.... and though popular, he did not command national influence unlike roberto who commanded both high national and continental influence kwa OAU/African Union...
That is how easy it was to do away with Savimbi...
 
Watu mamilioni wamebaki vilema kwa vita ya Angola ambayo Kagame ameshiriki vema kama anavyoshiriki DRC

Halafu huyu ndiye tunaambiwa atawaachia wahutu waishi Rwanda?

Kitakachotokea ni mapambano na majeshi ya SADC, atakuwa dhaifu kijeshi na hapo FDLR watamwingilia kirahisi sana. Matter of time.

Unaposema Kagame ameshiriki vita Angola, do you have any iota of reference as to how and when??...The truth of the matter is amehusika na vita vya Congo ambavyo pia was a matter of interest to former cuban leader Fidel castro ..why does a cuba a country whose trade is dependent on agricultural activity be interested in the congo war?

Russia used castro to advance its war in Africa. Ukitazama serkiali ya cuba inavoendeshwa, it is not any different na jinsi UNITA na savimbi walivoiendesha angola kutoka msituni, but...So so long as you are an African leader that is not in good terms with the west hivi sasa, you are a war criminal,,,
 
Kabaridi,

..Tanzania used to support Savimbi, but we cut our ties with him once he started receiving military assistance from Apartheid South Africa. Zambia did the same too.

..Kwasababu western powers hawakutaka kukata mahusiano yao na South Africa basi freedom fighter in Southern Africa were left with no choice but to accept military assistance from Soviet Union, and adopt marxist or socialist ideologies.

NB:

..Lets stick to the issue on the table.

1.Kagame provided covert assistance to Jonas Savimbi and Unita, in violation of OAU resolution which declared Savimbi a war criminal.

2.Paul Kagame has been sponsoring rebel groups in RDC. Those rebels have been found to have committed violent crimes against the innocent ppl of Congo, including women and children. It is estimated that 3 million Congolese have lost their lives because of the war imposed on them by Paul Kagame and the rebel groups he supports.

3. From # 1 and # 2 would it be wrong to catergorise what has happened in DRC as GENOCIDE??

4. From # 3, does Paul Kagame promote genocidal ideology??

cc: Nguruvi3, RUTAJUMBUKIRWA, Koba, Bukyanagandi, Geza Ulole, Ninaweza
 
Last edited by a moderator:
jokaKuu, Nguruvi3, Bornagain,
Nilisema nitarudi. Nimesoma thread zozote sijaona chochote cha kunishtua au kunishangaza. Kama alivyosema jokaKuu, hata sisi tulimsaidia Savimbi kabla hatujagundua kwamba alitumika na CIA. Nakumbuka mwaka 1974 pale Dar airport I saw this ugliest man God ever created. Baadaye nikagundua it was Savimbi. Sasa turudi kwa Kagame, kuna kitu kinaitwa national interest. Kama Kagame alimuunga mkono Savimbi wakati akiwa vice president, I do not see any big deal there. That is not dancing on Angola's graves. Savimbi alitumia Zambia kuingiza silaha zake hata wakati wa Kenneth Kaunda na sote tulijua hili ingawa Kaunda alikuwa kiongozi katika frontline states. Does that make that Kaunda a dancer on Angola's graves? Tuwashukuru Wacuba kwa msaada wao katika ukombozi wa Afrika, hasa katika yale mapigano muhimu ya Cuito Cuanavale ambako jeshi la Makaburu lilirudishwa nyuma na ukawa mwanzo wa kusambaratika kwa nguzo ya Makaburu kusini mwa Afrika. All said, Kagame may not be a saint, no politician is, and Kagame is still my hero.
 
jokaKuu, Nguruvi3, Bornagain,
Nilisema nitarudi. Nimesoma thread zozote sijaona chochote cha kunishtua au kunishangaza. Kama alivyosema jokaKuu, hata sisi tulimsaidia Savimbi kabla hatujagundua kwamba alitumika na CIA. Nakumbuka mwaka 1974 pale Dar airport I saw this ugliest man God ever created. Baadaye nikagundua it was Savimbi. Sasa turudi kwa Kagame, kuna kitu kinaitwa national interest. Kama Kagame alimuunga mkono Savimbi wakati akiwa vice president, I do not see any big deal there. That is not dancing on Angola's graves. Savimbi alitumia Zambia kuingiza silaha zake hata wakati wa Kenneth Kaunda na sote tulijua hili ingawa Kaunda alikuwa kiongozi katika frontline states. Does make that Kaunda a dancer on Angola's graves? Tuwashukuru Wacuba kwa msaada wao katika ukombozi wa Afrika, hasa katika yale mapigano muhimu ya Cuito Cuanavale ambako jeshi la Makaburu lilirudishwa nyuma na ukawa mwanzo wa kusambaratika kwa nguzo ya Makaburu kusini mwa Afrika. All said, Kagame may not be a saint, no politician is, and Kagame is still my hero.
Jasusi,

..I beg to differ.

..kwa uelewa wangu Kaunda na Nyerere waliachana na Savimbi ktk wakati mmoja. that is after Savimbi started collaborating with Apartheid South Africa.

..Hata ktk nchi zilizokuwa Frontline States, kuna nchi ambazo ziliendeleza mahusiano na Apartheid South Africa, but at a very minimal level. Hapa nazungumzia nchi kama Botswana ambao uchumi wao unategemea almasi iliyokuwa inachimbwa na De Beer. Botswana had no other choice.

..Kwa upande wa Kagame kushirikiana na Savimbi nadhani it is a very big deal. Sioni ni kwa jinsi gani Savimbi alikuwa aki-affect national interest za Rwanda. Sioni kama eneo alilokuwa aki-operate Savimbi lina-affect kwa namna yoyote ile interest za Rwanda. Kwa msingi huo hakukuwa na ulazima wa Kagame kushirikiana na Savimbi. Ninachoona mimi hapa ni tamaa ya MALI na MADARAKA aliyokuwa nayo Kagame.

..Hivi Kagame alikuwa hajui kwamba Savimbi alipata kuwa agent wa apartheid South Africa, PIDE[majasusi wa Ureno], CIA, na zaidi alikuwa declared a war criminal na OAU na UN?? mahusiano ya Kagame na Savimbi yalikuwa in violation of OAU and UN resolutions.

..Jasusi, hivi umeona wapi nchi moja ya Kiafrika ikakandamiza nchi mwenzake na kufikia kuuwawa kwa wananchi milioni 3 kwa ajili ya national interest? Eneo la Mashariki ya Congo limefikia kuitwa "the world capital of rape" kutokana na ukatili wa wanajeshi wa Kagame na makundi ya waasi anayoyafadhili.


NB:

..Kuna siri nzito kuhusu Kagame alipokuwa Makamu wa Raisi.

..Kwa kifupi ni kwamba Bizimungu alikuwa "raisi kanyaboya" wa Rwanda.

cc😡Nguruvi3, bornagain, Kabaridi, Ninaweza
 
Nguruvi3,Joka kuu

Was there PK hands on Sankara?

au vibaraka wa France walitafuta pa kujivulia lawama?
 
jokaKuu,
Here is another food for thought. This is a quote from a fellow journalist Richard Mgamba:

FDLR and M23 are all rebels causing instability in DRC. While FDLR is dominated by Hutus, the M23 is group formed by Congolese Tutsi. There are credible evidence that the Congolese national army(FARDC), which is backed by UN and SADC forces, has joined forces with FDLR to fight M23. The UN monitoring group in their interim report released this month confirmed beyond reasonable doubt that FDLR and Congolese national army are partners.


Now if FDLR's main mission is to overthrow the Rwandese regime, and here we see it forming alliance with Congolese army, then what will happen? How can SADC and UN back the army that is collaborating with rebels?

I thought both FDLR and M23 are rebels who should be wiped out, but it seemed they are only called rebels when their origin is Tutsi and backed by Rwanda. But if they are backed with Congolese national army and their origin is Hutus, they suddenly become good boys or partners. This is a mess in the making.


 
Unaposema Kagame ameshiriki vita Angola, do you have any iota of reference as to how and when??...The truth of the matter is amehusika na vita vya Congo ambavyo pia was a matter of interest to former cuban leader Fidel castro ..why does a cuba a country whose trade is dependent on agricultural activity be interested in the congo war?

Russia used castro to advance its war in Africa. Ukitazama serkiali ya cuba inavoendeshwa, it is not any different na jinsi UNITA na savimbi walivoiendesha angola kutoka msituni, but...So so long as you are an African leader that is not in good terms with the west hivi sasa, you are a war criminal,,,
Siwezi kukujibu kwasababu hujui uzi huu unaongelea nini.
Samahani
 
jokaKuu,
Here is another food for thought. This is a quote from a fellow journalist Richard Mgamba:

FDLR and M23 are all rebels causing instability in DRC. While FDLR is dominated by Hutus, the M23 is group formed by Congolese Tutsi. There are credible evidence that the Congolese national army(FARDC), which is backed by UN and SADC forces, has joined forces with FDLR to fight M23. The UN monitoring group in their interim report released this month confirmed beyond reasonable doubt that FDLR and Congolese national army are partners.


Now if FDLR's main mission is to overthrow the Rwandese regime, and here we see it forming alliance with Congolese army, then what will happen? How can SADC and UN back the army that is collaborating with rebels?

I thought both FDLR and M23 are rebels who should be wiped out, but it seemed they are only called rebels when their origin is Tutsi and backed by Rwanda. But if they are backed with Congolese national army and their origin is Hutus, they suddenly become good boys or partners. This is a mess in the making.
JokaKuu, I can see a point by Richard.
It's true both are rebels in a way. Unfortunate the person who complicates the situation is Paul Kagame.

Kagame is backing M23 simply because they are Tutsi. PK is using M23 as shield to his mission in DRC which is to siphon the abundant wealth. So Kagame has 2 interests in DRC (1)To help his ethnic member Tutsi pursue disadvantaged Hutus (2) To destabilize DRC for economic purpose.

If Kagame wouldn't 've supported M23 ,the equation could be on two items i.e instability in DRC and FDLR. There could be a legitimate reason to deal with FDLR perfect and square.

For the time being the problem is neither M23 nor FDLR.
Kagame is at the epicenter of whole crime against humanity in DRC as it was the case in Kabinda Angola. Kagame is a problem to be dealt with in first place

SADC and UNISCOM are not supporting FDLR per se, they want to push the war inside Rwanda and Keep Kagame busy within his border giving peace maker a chance to deal with FDLR in Eastern Congo and stabilize the DRC.

Kagame is in '***t' because he will be confined in Kigali fighting endless war within his country.
Tanzania as SADC member under UNISCOM will batter Kagame's M23 inside Congo, at the same time provide necessary logistic for rebels to attack Kagame from any geographical position.

It is naive to think that Tanzania will go to war with Rwanda. At the moment Rwanda is in precarious situation, the geo-politics does not favor Kagame a winning chance.
Kagame may stand his ground for sometime but finally he will succumb.
Paul's stupid initiative to attack Tanzania verbally will cost him, matter of time
 
JokaKuu, I can see a point by Richard.
It's true both are rebels in a way. Unfortunate the person who complicates the situation is Paul Kagame.

Kagame is backing M23 simply because they are Tutsi. PK is using M23 as shield to his mission in DRC which is to siphon the abundant wealth. So Kagame has 2 interests in DRC (1)To help his ethnic member Tutsi pursue disadvantaged Hutus (2) To destabilize DRC for economic purpose.

If Kagame wouldn't 've supported M23 ,the equation could be on two items i.e instability in DRC and FDLR. There could be a legitimate reason to deal with FDLR perfect and square.

For the time being the problem is neither M23 nor FDLR.
Kagame is at the epicenter of whole crime against humanity in DRC as it was the case in Kabinda Angola. Kagame is a problem to be dealt with in first place

SADC and UNISCOM are not supporting FDLR per se, they want to push the war inside Rwanda and Keep Kagame busy within his border giving peace maker a chance to deal with FDLR in Eastern Congo and stabilize the DRC.

Kagame is in '***t' because he will be confined in Kigali fighting endless war within his country.
Tanzania as SADC member under UNISCOM will batter Kagame's M23 inside Congo, at the same time provide necessary logistic for rebels to attack Kagame from any geographical position.

It is naive to think that Tanzania will go to war with Rwanda. At the moment Rwanda is in precarious situation, the geo-politics does not favor Kagame a winning chance.
Kagame may stand his ground for sometime but finally he will succumb.
Paul's stupid initiative to attack Tanzania verbally will cost him, matter of time
ha ahaha ahaha delusional at best,trying to create every scenario just to fulfill his/her fantasy,hao M23 kila siku mmnaambiwa has nothing to do with Kigali,hao ni legit Congolese fighting for their cause na thinking they are depending Kigali is just ridiculous,wana pesa kuliko Rwanda hao ila kwa sababu nguruv na wenzako in your heads mmeamua kufanya hii conflict is about Kagame that's fine na siwezi kuwabadilisha lakini soon or later reality will kick in...na upuuzi wako umeashaanza kufikiria war btn TZ and Rwanda,for what? your idea of war btn these 2 states is just bizarre and foolishness and will never happen so futa hizo fantasy zako
 
ha ahaha ahaha delusional at best,trying to create every scenario just to fulfill his/her fantasy,hao M23 kila siku mmnaambiwa has nothing to do with Kigali,hao ni legit Congolese fighting for their cause na thinking they are depending Kigali is just ridiculous,wana pesa kuliko Rwanda hao ila kwa sababu nguruv na wenzako in your heads mmeamua kufanya hii conflict is about Kagame that's fine na siwezi kuwabadilisha lakini soon or later reality will kick in...na upuuzi wako umeashaanza kufikiria war btn TZ and Rwanda,for what? your idea of war btn these 2 states is just bizarre and foolishness and will never happen so futa hizo fantasy zako
Well, the idea of war was not in my mind before.

It's Kagame who want to go to war with Tanzania. Kagame has been conducting series of security and intelligence meeting on camera to intimidate Tanzania.

I strongly believe that Tanzania has no intention to fight tiny country like Rwanda.
Tanzania is a home for millions of oppressed Rwandans after genocide which kagame orchestrated. Kagame did not quench his thirsty though, he went to Angola to suck more blood before instigating chaos in DRC.

So my friend Koba, you can see how evil and monster is Kagame

Yes, we're trying to make the scenario in case stupid PK will cross the line.
We can't take for granted that the vampire cannot attack us.
This hatred person who traversed to Angola will never stop crossing to Kigoma!!

Here is the fact, geo-politics Kagame has no support, from EAC,SADC , AU and UN.
everybody knows that PK is a trouble maker in the region and it's time for the music.

Right now the UNISCOM and SADC have launched attack against Kagame's M23.
Now, if we recall Nyamwasa from SA, equip him well with ammunition in collaboration with thousands of Rwandans living in Tz as of today, Kagame will not need to fight JWTZ anymore.

He will be busy protecting M23, taking beatings from UNISCOM and 'Nyamwasa' will be heading Kigali from other position.

Friend Koba, Kagame is M23 ad M23 is Kagame. This war loving president need be disciplined.
This time the world will wipe his ass with steel wool and acid.

 
..Lets stick to the issue on the table.

1.Kagame provided covert assistance to Jonas Savimbi and Unita, in violation of OAU resolution which declared Savimbi a war criminal.


cc: Nguruvi3, RUTAJUMBUKIRWA, Koba, Bukyanagandi, Geza Ulole, Ninaweza
Don't link Kagame with UNITA,mbona he was cleared by UN loooong time ago na hakuna ushahidi wowote hiyo link iliwahi kutokea,lakini news kama hizi we know makes u guys feel good
[h=1]Rwanda: UN Strikes Kagame Off Unita Link[/h]16 March 2000



London, Rwandese Vice - President Paul Kagame's name has been withdrawn from the list of leaders implicated by United Nations investigators for busting the sanctions imposed on the rebel UNITA of Angola.
An early version of the sanctions committee's report leaked at the weekend named President Omar Bongo of Gabon and Kagame as implicated in illegal traffic with Unita, but the two names have been withdrawn from the final report.
 
Mada ni nzuri sana, lakini wakuu tunaweza kujionea mkataba huu,


Yericko Nyerere said:
Viongozi wetu siajabu nao wameingia mikataba kama huu wa Laurent Desire Kabisa.

Kama serikali ya Jakaya Kikwete inaingia mikataba 17 ya siri na Uchina tutegemee nini?




Mkataba wa kuuza Kongo huu



Na Mwandishi Maalum - Imechapwa 11 February 2009



KINACHOITWA vita vya sasa nchini Kongo ni utekelezaji wa
“Makubaliano ya Lemera” ya mwaka 1996 yenye shabaha ya kuigawa nchi hiyo kubwa kuliko yoyote ile Afrika Mashariki na Kati.

Makubaliano yalifanywa kati ya Laurent Desire Kabila, akiwa kiongozi wa chama cha “kuikomboa Kongo” kutoka utawala wa dikteta Mobutu Sese Seko, kwa upande mmoja; na wapiganaji wa Kinyarwanda kutoka Rwanda na Mashariki mwa Kongo.

Makubaliano ambayo yalifanyika kwenye vilima vya Lemera vilivyoko Kivu ya Kusini na kujulikana kwa jina hilo, yalitaka Kabila, baada ya kuwa rais wa Kongo, aruhusu mikoa miwili ya Kivu Kaskazini na Kusini kuwa makazi ya Wanyarwanda wa kabila la Kitutsi.

Taarifa zilizopo zinaonyesha makubaliano yaliandaliwa mapema mjini Kigali na pale Lemera yalikuwa yanazinduliwa tu. Ilikubaliwa wakati huo kwamba
hiyo ndiyo ingekuwa “asante” kwa Rwanda “kwa ukombozi wa Kongo.”

Desire Kabila alikuwa tayari amechoka. Kwa takriban miaka 20 alikuwa akipambana na utawala wa Mobutu Sese Seko. Alikuwa amefikia hatua ya kukata tamaa na kutulia jijini Dar es Salaam.

Mwaka 1996, mjini Kigali, Rwanda kilikuwa kimeundwa kikundi cha wapiganaji waliojiita “wapinzani wa dikiteta Mobutu.” Hawa walikuwa Wakongomani na Wanyarwanda kutoka Rwanda na wengine waliokuwa wakiishi mkoa wa Kivu Kusini, Mashariki mwa Kongo.

Katika kundi hilo alikuwemo Mkongomani, Jenerali Andre Kisasi Ngando; askari mtaalam wa kusomea. Anadaiwa kupata mafunzo nchini Cuba, Ujerumani na Bulgaria. Alikuwa akiongoza Wakongomani wapatao 600 katika kikundi hicho.

Wakati kikundi hicho kinataka kuanza vita, kilitaka kuwa na msemaji. Mungu akupe nini! Hakuna uthibitisho wowote, lakini taarifa zinaeleza kiliomba ushauri wa Mwalimu Julius Nyerere “ambaye aliwapa Laurent Desire Kabila kuwa msemaji wa wapiganaji.”

Mwanzoni mwa vita ya kumg’oa Mobutu kikundi hiki kilijulikana kama cha Wanyamulenge. Dunia nzima ikaambiwa na kuaminishwa kuwa hayo yalikuwa “maasi ya Wanyamulenge.”

Wanyamulenge ni watu wanaodaiwa kutoka kwenye vilima vya Mulenge vilivyoko wilaya ya Uvira katika mkoa wa Kivu Kusini. Makabila ya asili ya hapa ni Wavira na Wafuliro.
Wanaojiita Wanyamulenge ni Wanyarwanda wakuja.

Vita vilianza kwa propaganda kuu kwamba serikali ya Mobutu haitambui Wanyamulenge ambao walidai ni raia wa Kongo; inawanyanyasa na inawanyima uraia. Haya yalikuwa madai makubwa sana yaliyovuta hisia kali na huruma kwa wapiganaji.

Wapinzani, chini ya
Jenerali Andre Kisasi Ngando, na msemaji mkuu wao Laurent Kabila waliteka, kama mchezo, mji mkuu wa Kivu Kaskazini, Goma. Wakavuka Ziwa Kivu na kuingia Kivu Kusini.

Ilikuwa baada ya kukamata mji wa Bukavu, makao makuu ya Kivu Kusini na sehemu nyingi za mkoa huo,
wapiganaji wa Kinyarwanda waliingiza pendekezo la rais ajaye wa Kongo, kutoa Kivu Kaskazini na Kusini kwa Rwanda.

Lakini kabla suala hilo nyeti kupewa uzito unaostahili, wapiganaji wa Kinyarwanda, baada ya kuteka Bukavu, wanadaiwa kuanza kupora mali – magari, vifaa vya nyumbani, dawa katika maduka – hatua ambayo ilielezwa kuwa uhamishaji wa mali za wakazi wa Bukavu na maeneo mengine.

Alikuwa Jenerali Ngando anayeripotiwa kupinga uporaji usiomithilika, jambo ambalo lilimletea uhasama kwa baadhi ya wapiganaji. Kuona hivyo, Laurent Kabila akamwasi Ngando.

Ngando anasemekana kuuawa siku chache baada ya kutofautiana na wapiganaji juu ya uporaji. Inaelezwa kuwa alimiminiwa risasi na kuuawa na mwili wake kuchomwa moto katika mbuga ya wanyama ya Virunga.

Kabila aliulizwa mara nyingi juu ya Ngando. Alikuwa na majibu tofauti. Akiwa bado msituni alisema Jenerali Ngando amekamatwa na majeshi ya serikali na mara ametekwa na wanamgambo wa Mai Mai.

Baadaye Kabila alisema Ngando alijeruhiwa na kupelekwa Ujerumani kwa matibabu. Na wakati akiwa rais, aliwaambia waandishi wa habari mjini Kinshasa kuwa Ngando alikuwa askari kama askari wengine na kwamba alikufa kwenye mapambano.

Ilikuwa baada ya kifo cha Jenerali Ngando ndipo Kabila aliingizwa kwenye makubaliano ya kumega Kongo. Kwanza, kikundi cha wapiganaji kiligeuzwa kuwa chama – AFDL – Alliance de front Democratique pour la Liberation du Congo.

Kabila akapanda cheo na kuwa kiongozi wa chama cha ukombozi wa Kongo kutoka kuwa msemaji tu wa wapiganaji.

Baada ya kuundwa kwa AFDL, jina la Wanyamulenge likatoweka kabisa. Wapiganaji wakaitwa waasi wa Kongo. Taarifa zinasema kabla wapiganaji kutoka Bukavu na kuanza safari iliyomfikisha Kabila madarakani, waliingia katika mkataba ambao ndio umekuja kuitwa
“Makubaliano ya Lemera.”

Kuna madai kwamba viongozi wakuu wa wakati huo wa baadhi ya nchi walipata nakala ya makubaliano hayo ya kumega Kongo. Miongoni mwa nchi hizo ni Namibia, Uganda, Burundi, Zambia, Ethiopia, Eritrea, Zimbabwe, Angola, Namibia, Sudan na baadhi ya nchi za Ulaya na Marekani.

Imeelezwa kuwa makubaliano ni pamoja na kufanya mikoa ya Kivu Kaskazini na Kusini kutawaliwa na Wanyarwanda wa Kitutsi kutoka mataifa ya Rwanda, Burundi na Uganda; na kwamba utawala huo ambao ungefanya kazi kwa ushirikiano na serikali ya Kabila, ungetekelezwa kwa awamu tatu katika kipindi cha miaka 10 kuanzia 1998.

Chini ya mpango huo, raia wa Kongo, wakazi wa Kivu Kaskazini wangehamishiwa Kivu Kusini, “taratibu na kwa utulivu huku makazi yao yakichukuliwa” na wavamizi.
Imeelezwa kuwa hatua ya kwanza isingekuwa ngumu kwani Rwanda ingedai kuwa inapambana na wanamgambo wa Kihutu walioitwa Interhamwe ambao itaelezwa kuwa wanatishia amani nchini Rwanda. Hivyo ndivyo imekuwa ikifanya hadi sasa.

Makubaliano yanadaiwa kueleza kuwa kuchukuliwa kwa miji ya Goma na Butembo mkoani Kivu Kaskazini, sharti iwe hatua ya kwanza kwa kuwa hayo ndiyo maeneo yenye upinzani mkubwa. Kufanikiwa kwa awamu ya pili, kungetegemea mafanikio ya awamu ya kwanza, makubaliano yanadaiwa kueleza.

Wafuatiliaji wa mahusiano ya Rwanda na Kongo wanasema ingawa mpango huo ulishindikana kutekelezwa kuanzia mwaka 1998, kuingia kwa majeshi ya Rwanda nchini humo hivi sasa, ni utekelezaji wa hatua ya kwanza ya Makubaliano ya Lemera; na tayari miji ya Goma na Butembo iko chini ya kile kinachoitwa “majeshi ya ushirikiano” ya Rwanda na Kongo.

Kwa mujibu wa masimulizi juu ya makubaliano hayo, awamu ya pili ingekuwa kujaza wakazi wa Kaskazini katika Kivu Kusini na kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa ambapo wazawa wangeenguliwa, kukosa uongozi na hivyo kunyimwa sauti.

Hatua nyingine ilikuwa kuanzisha benki ya kusaidia wavamizi katika Kivu mbili, kujenga nyumba zipatazo 600,000 na kujiimarisha katika nchi ya kigeni – Kongo.

Imeelezwa kuwa Kabila alikubaliana na masharti ya makubaliano kwa kuwa lengo lake lilikuwa moja tu: Kuingia ikulu ya Kinshasa kwa msaada wowote kutoka kwa yeyote; Mungu au shetani.

Ilikuwa baada ya makubaliano hayo,
Kabila alisonga mbele na hatimaye kushinda na kuingia ikulu ya Kinshasa akiwa na wapiganaji wa Rwanda, akiwemo mkuu wa sasa wa majeshi wa Rwanda, James Kabarebe.

Baada ya kuingia ikulu, Kabila anadaiwa kuwageuka wenzake. Ilikuwa baada ya miaka miwili ya urais, alitangaza, tena kwa jeuri, kuwa wageni wote waondoke nchini. Aliongeza kwa kufafanua, kwamba Wanyarwanda warudi kwao na kusema anawashukuru kwa kazi waliyofanya.

Kabila alikuwa tayari amesoma mwelekeo wa makubaliano yake na kuona kuwa yanatoa mwanya kwa kile kilichoitwa “Nchi ya Ahadi” ya Watutsi kutoka Rwanda, Burundi, Uganda, Somalia, Ethiopia, Eritrea na Tanzania.

Alitakiwa atangaze, akiwa rais, kuwa Kivu mbili zote ni makazi ya Watutsi; ili hata wananchi wa Kongo watakaobaki humo, wawe wanafahamu kwamba siyo kwao.

Kabila alinukuliwa akisema kuwa hayo (Makubaliano ya Lemera) ni “makubaliano ya porini” na kwamba yeye hakuwa na madaraka ya kuuza nchi. Alisema hakatai kuwepo mkataba, lakini akataka hilo “lipelekwe kwa wananchi – kupitia bungeni – ili wananchi wenyewe waamue.”

Kilichomshangaza zaidi Kabila, baada ya kutangaza kuwa Wanyarwanda warudi kwao, ni kwamba aliyekuwa wa kwanza kuondoka na kukimbilia Afrika Kusini, alikuwa waziri wake wa mambo ya nje aliyeitwa
Bizima Karaha (Bizimana Karahamuheto).
Katika mshangao na labda kejeli, Kabila alisema,
“Kumbe nchi ilikuwa imevamiwa! Hata waziri wangu wa mambo ya nje alikuwa Mnyarwanda?”

Hiyo ilifuatiwa na kufukuzwa kwa
James Kabarebe aliyekuwa mkuu wa majeshi ya Kongo na sasa mkuu wa majeshi ya Rwanda. Hatua hizi na nyingine, ndizo zilisababisha kutotekelezwa kwa Makubaliano ya Lemera.

Lakini wachunguzi na wafuatiliaji wa mahusiano ya nchi hizi mbili wanasema, makubaliano yameandikwa na yapo; hayajafutika. Kilichofanyika ni “ukaidi wa Kabila” wa kutotaka kutimiza ahadi yake baada ya kuingia ikulu.

Kabila anasemekana alikuwa amesoma kitabu cha Raphael Ntibazokiza kikieleza mahusiano ya Watutsi na wabantu, kiitwacho
Plan de la colonisation tutsi au Kivu et region centrale de l’Afrique – Mpango wa ukoloni wa Kitusi katika Kivu na eneo la Afrika ya Kati.

Raphael anaandika, “Mhutu ameumbwa kufanyia kazi watu wengine; hawezi hata kujaribu kupata uongozi. Chukua nafasi zote za mikoa na wilaya na atakayekuwa mtawala ahakikishe kuwa analinda maslahi yetu... Baadaye watakapokuja kustuka, watakuwa wamechelewa…”

Mmoja wa waliokuwa karibu na Laurent Kabila amenukuliwa akisema hakuna kitu kilichomsononesha Kabila kama kauli ifuatayo ndani ya kitabu cha Raphael:
“Tutumie ukarimu wao. Tujinyenyekeze kwao kama sisi ni watumishi wao.

Tukiishachukua nafasi zao tuwatelekeze na ‘kuwalipa ujira wa nyani’- payez-les en monnaie de singe pour montrer leur incapacite – ili kudhihirisha kuwa hawana uwezo.”

Kabila aliuawa kabla hajamaliza kunyukana na Rwanda. Aliuawa na mmoja wa “watoto” wake – vijana wadogo waliokuwa watu wa karibu sana na waliomlinda tangu akiwa msituni.

Kuna maelezo tatanishi juu ya kifo chake. Kuna wanaodai aliyemuua alitumwa na waliokuwa wakitaka atekeleze makubaliano ya Lemera; lakini wengine wanadai ni karata za nchi za Magharibi.

Kwa kuwa Jonas Savimbi aliuawa katika wiki moja tu baada ya kifo cha Kabila, inadaiwa kulikuwa na mkono wa mataifa makubwa; hili likitaka kuingia Kongo na hivyo kuomba msaada wa kuondoshwa kwa Kabila huku likiwezesha kukamatwa na kuuawa kwa Savimbi. Siasa hizi hazijafafanuliwa.

Kuingia kwa Joseph Kabila, anayedaiwa kuwa mtoto wa kufikia wa Laurent Kabila, kunaonekana kuleta mgeuko mwingine kuelekea kule ambako “baba” yake alikataa.
Kinachoitwa makubaliano kati ya serikali ya Rwanda na ile ya Kongo kinaonekana wazi kuwa utekelezaji wa mpango wa awali ambao Laurent Kabila alikataa.

Aidha, kukamatwa kwa
Jenerali Laurent Nkundabatware na kuhifadhiwa nchini Rwanda kunaelezwa kuwa sura kamili ya “kuheshimu kazi ya maandalizi aliyokuwa akifanya nchini Kongo.”

Kuna madai kuwa Nkundabatware, Mnyarwanda kutoka Rwanda, lakini Rwanda inasema ni Mkongomani, hakuwa na jeshi lolote nchini Kongo. Aliongoza majeshi ya Rwanda hadi hapo ilipoonekana kuwa mazingira yamekuwa mazuri kwa Rwanda kuingilia kwa kisingizio cha “kufukuza Interhamwe na kuweka usalama mpakani.”

“Hata akipelekwa Kongo leo hii, Kabila atamlinda Jenerali Nkundabatware, labda kama wakuu wa Kongo na Rwanda watakuwa wamegundua kuwa amewasaliti,” kimeeleza chanzo cha habari hizi mjini Goma.

Rwanda imeingia Kongo. Nani ataiondoa? Baadhi ya nchi jirani zimekuwa watazamaji tu wakati nyingine zikiwa katika maandalizi ya kunufaika kutokana na mgogoro wa nchi hii.

Moses Byaruhanga, waziri katika ofisi ya rais (Siasa) nchini Uganda, amesema nchi yake inaunga mkono “shirikisho la Kivu na Kisangani” na kwamba wanasubiri kuona serikali ya Kinshasa inalionaje suala hilo.

Katika siku za karibuni kumekuwa na taarifa za kukamilisha kumegwa kwa mikoa miwili ya Kivu Kaskazini na Kusini kutoka Jamhuri ya Kongo na kuzifanya muungano wa Jamhuri ya Kivu.

Kauli ya msemaji wa ikulu Uganda inaongeza uwezekano wa kuimega Kongo pale inapohusisha jimbo jingine la Kisangani ambako majeshi ya Uganda yanadai kuwinda waasi wa Lord’s Resistance Army (LRA).

Kiongozi wa LRA, Joseph Kony amekuwa akipambana na majeshi ya serikali ya Yoweri Museveni kwa zaidi ya miaka 15. Uganda sasa inadai kuwa Kongo inatumika kama kichaka cha waasi hao.

Kauli ya Uganda haipishani na mipango inayodaiwa kufanywa na Rwanda ingawa Rwanda, kupitia balozi wake mjini Dar es Salaam ilikaririwa ikisema haina mpango wowote wa kuigawa Kongo.

Jumuiya ya kimataifa imetekwa kwa propaganda za Interhamwe, Wanyamulenge, waasi wa LRA na kumbukumbu za mauaji ya kimbari.

Isipokuwa Barrack Obama ambaye angalau amesema anataka Kongo tulivu na kwamba atasaidia kuleta hilo, mataifa mengine, pamoja na Ufaransa, yanataka kuimega Kongo.
 
Unita ilizimwa na mamluki wa MPLA wakisaidiwa vifaa kutoka China na Russia..
Kama unawaita mpla mamluki hakika hujui maana ya neno mamluki. Subiri na huyo kagame wako maana huyo ndio mamluki. Ameua marais watatu na kusababisha watu karibu milioni 4 kupoteza maisha congo. Siku itafika kama savimbi atakosa pa kukimbilia.
 
Back
Top Bottom