Child Hood Memories

Hadithi za UA JEKUNDU
lakini kombolela ilikuwa ina vikorombwezo vingi maana sisi tulikuwa na utaratibu wa kubadilishana nguo baina ya wasichana na wavulana,hali hii ilipelekea wangine wakapotelea wakikomboana.duh mbaali sana.
 
Binti chura! hiyo hadithi mpaka leo huwa nasimulia watoto wangu. siku haiziruidi tena. Enzi hizo nalazimishwa kulala mchana, nakasirika. sasa hivi natamani, siwezi.
salamu mfalme bara,adili na nduguze hapo hutendi haki kama hujamtaja debora mwenda.
 
ha ha ha ha ha!!!! mimi sikubahatika kuwa na hilo gem nilikua naenda kwa jirani tunacheza kwa zamu. Afu lilikuwepo na hili.

 



Hii tulikuwa tunaita UKUTI UKUTI



Wa umeme...wa umeme.. Mtambuzi mtambuzi...kagongwa kagongwa...na nini na nini...na gari na gari...tumpeleke mnazi mmoja asije kusema kwa baba yake...yesa yesa yesa iyeeeee...bado kidogo...yesa yesa yesa iyeeeee.
 
Last edited by a moderator:

hii nilikua nikiishika mpaka betri ziishe ndo kieleweke. Dukani hakuendeki ni mimi na brick game
 
mh,me nakumbuka mchezo nlokuwa naupenda sana na mdako na bao. tulikuwa tunachimba vishimo then tunacheza. tukimaliza tunafukia vishimo vyetu na vimawe vyetu hahahahaaa. jamani natamani tena kuicheza hyo michezo lol. . .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…