Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
- Thread starter
- #121
Good idea aiseewakuu naomba nijuilishwa kwa hapa tanzania sehemu gani unaweza kuadopt mtoto..niliwahi kwenda sehemu ya kulelewa watoto .nikawaomba nimchukue mmoja na niliwaahidi kama nitaapa huduma zote..muhimu..lakushangaza wamekataa..wanasema sisi tunao uwezo wa kumtunza..wanasema huwa misaada inapelekwa sasa sidhani hivi vituo vyengine kama wanakubali kuwa toa watoto..ila nahisi wanafanya kimaslahi yao zaid..kama kipo kituo kinachokubali kutoa mtoto naomba munijuilishe asante
Sent using Jamii Forums mobile app