Perfect answer!Ukiadopt, unakuwa mzazi. Ukichukua mtoto wa ndugu, unakuwa mlezi. So itategemea na wewe malengo yako, unataka kuwa mzazi au mlezi
Katika dini ya kiislam,ukiasili mtoto,pindi afikapo umri wa kujitambua sharti umwambie ukweli si kumficha nakujidai umemzaa wewe.Ni jambo jema kufikiria hivyo na kuwa na plan B, na ni lipi bora hasa mtoto wa ndugu au adoption, option zote inategemea matokeo unayoyatarajia kutokana na maamuzi yako
1.Ukiwa unataka tu kulea na kusaidia ndugu wanaweza kuwa option nzuri, ingawa option hii inachangamoto ya kuingiliwa na familia husika ya ndugu, na ukiwa na ndugu wa lawama inaeeza kukuweka ktk mazingira magumu( Nimeongea kwa kuzingazia evidence nilizoziona), hii option huwa naiona ni nzuri ukiwa na mtoto mmoja au wawili then ukawa na ndugu wa kusaidia, ila tegemea mtoto anaweza kuondolewa ktk familia yako muda wowote.
2.Option ya kuadopt binafsi naiona nzuri zaidi, kwanza unampa fursa mtoto ambaye angeweza kukulia ktk vituo vya watoto yatima ambavyo sio mazingira rafiki sana ya makuzi, pili unapata fursa ya kumlea kulingana na mnavyoona inafaa, kwa namna yenu na imani yenu, na huyu mtoto mtakuwa naye maisha yenu yote tofauti na ndugu.
Changamoto za kuingiliwa ktk malezi hazipo, na mtoto anakuwa akitambua kuwa nyie ndio wazazi wake.
Kwangu hii ni better option
This was just a challenge and doesn't mean I can't impregnate a woman
CCM na JPM oooyeeeeeeGood evening all members.
Huwa nina kawaida ya kwenda out na mchumba wangu (mama watoto mtarajiwa) huwa ninamuita mama D na yeye ananiita baba D (Denis ama Diana) tukiamini kuwa baada ya ndoa yetu Mungu atatubariki na kupata mtoto aidha wa kike ama wa kiume.
Juzi jumatano jioni tulikutana pia, but this time I raised a challenge kwake kwamba katika maisha ya ndoa lolote laweza kutokea kwa maana kupata mtoto ni majaaliwa ya mwenyezi Mungu muumba wa yote.
"Should we adopt a child ama tuchukue mtoto (watoto) wa ndugu kutoka upande wowote tukae nao?"
Nimeweka hii option just in case mambo yasipoenda straight katika ndoa yetu.
Guys which option ipo much better and wiser than the other?
Follow my other threads
============
Let's share: Uliwahi kusaidiwa na mtu usiyemfahamu kabla (msamaria mwema)? Kipi kilitokea
CCM oooyeeeeeGood evening all members.