Chikira Mtabari nawaaga

NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
27,966
35,152
Kwa wale walio wapendwa wangu nachukua nafasi hii kuwajulisha kuwa kuanzia kesho nitakuwa vijijini sana sehemu ambayo hakuna hata "network" kwa wiki kadhaa hivyo msiponiona msipate shaka.

Nawatakia kila la kheri wana JF wote wenye mapenzi mema na mimi.
 
Karibu tena kwenye Milima ya Upareni. Ila usijali,network imejaa ndugu.
 
Kila la kheri mkuu ukaishi mahali pema peponi nakutakia mafanikio mema huko uendako
 
Karibu tena kwenye Milima ya Upareni. Ila usijali,network imejaa ndugu.
Hapana siendi nyumbani naenda vijiji vya hukuhuku kanda ya ziwa lakini ni ndani ndani sana hakuna mambo ya simu simu huko
 
Kila la kheri dear. Tutakumiss...
Watumie salamu zetu, waambie wasihuzunike kuishi vijijini, waambie hata huku kwetu Dar maisha bado ni magumu kwa Mtanzania wa kawaida...
 
Hata mimi nitai miss JF maana umeshakuwa kama ulevi wangu
 
Umeshampata anayejua kukupenda?? Nimeshakuamnbia mara kibao onjoo nikupende hutaki...haya uende salama urudi salama, nakutumia namba yangu Inbox kama utapata dharura na ukahitaji msaada wa haraka
 
Basi unaenda Gambosh.... Kila la kheri Mkuu! Wasalimie Shinyanga, hebu waulize huko kuzimu kama Hali mbaya ya kiuchumi inawagusa mpaka wao. Usisahau Mrejesho
Ni zaidi ya Gamboshi maana huko hata guest tutalala nyumba za tembe tu hakuna bati wala nini! Ila ndi maisha yote ni kheri
 
Kwa wale walio wapendwa wangu nachukua nafasi hii kuwajulisha kuwa kuanzia kesho nitakuwa vijijini sana sehemu ambayo hakuna hata "network" kwa wiki kadhaa hivyo msiponiona msipate shaka.

Nawatakia kila la kheri wana JF wote wenye mapenzi mema na mimi.
MAPUMZIKO MEMA..
 
Umeshampata anayejua kukupenda?? Nimeshakuamnbia mara kibao onjoo nikupende hutaki...haya uende salama urudi salama, nakutumia namba yangu Inbox kama utapata dharura na ukahitaji msaada wa haraka
Sasa Elli hata ukinipa namba ya simu kule haitanisaidia! sijapata nimpendae na ila katika kutafuta mkate wa kila siku, ni sehemu za shughuli za ujenzi wa Taifa letu
 
Back
Top Bottom