Chikamoo Obama

CAMARADERIE

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
4,419
1,920
Damu ya kibantu haifutiki bana

article-0-1347D8E4000005DC-296_634x348.jpg
 
nimesoma hiyo news kwenye yahoo news, huyo mtoto alimwambia Obama nataka fahamu kama na wewe nywele zako ni kama za kwangu... sio kwamba alikuwa anampa shikamoo

"I want to know if my hair is just like yours," he told Mr. Obama, so quietly that the president asked him to speak again.

Jacob did, and Mr. Obama replied, "Why don't you touch it and see for yourself?" He lowered his head, level with Jacob, who hesitated.

"Touch it, dude!" Mr. Obama said.

read: Boy who touched Obama
 
zombaKwanini haiwezekani house # 10 ilikutwa na panya, so I won't suprise. Hebu soma hapa BBC News - Rat runs past No 10 Downing Street

White house akiingia chawa detectors zinamuona, waoga wale usiwaone hivyo. Hawaruhusu hata sisimizi, wanaona labda anaweza kuwa ni robot seuse chawa, ndio kabisa, wana bug detectors kila namna humo.

Hiyo ya Downing Street si unaona "runs past" na kaonekana. Yaani kakatiza tu njia lakini kaonekana. chawa haingii ndani huko.

Hiyo ni asili na haipotei, mtoto kaambiwa "kaamkie" na Obama anayajuwa hayo, si wa hukuhuku huyo, kauchinja tu. Mzee kichaka angeyajuwa hayo?
 
nimesoma hiyo news kwenye yahoo news, huyo mtoto alimwambia Obama nataka fahamu kama na wewe nywele zako ni kama za kwangu... sio kwamba alikuwa anampa shikamoo

"I want to know if my hair is just like yours," he told Mr. Obama, so quietly that the president asked him to speak again.

Jacob did, and Mr. Obama replied, "Why don't you touch it and see for yourself?" He lowered his head, level with Jacob, who hesitated.

"Touch it, dude!" Mr. Obama said.

read: Boy who touched Obama

Katika hiyo picha yahoo ndio nani?
 
Back
Top Bottom