Chief Mkwawa ana mchango mkubwa

Chief-Mkwawa ni zaidi ya msaada kwani ni mwalimu pia kwetu tunaoibukia kwenye hii fani. thank u very much bro n live long.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu naombeni mnifahamishe nimesmatika na vodafone v685/alcatel ila inagoma kudownload baadhi ya application google play mfano instragram kila nikibofya option ya install inandka iv '' your device is not comptible'' je hapo natakiwa nifanyeje? Cc CHIEF MKWAWA
 
Last edited by a moderator:

Haina uwezo mkuu alaf cha kushangaza droid version yake ni 4,4 kitkat
 
Last edited by a moderator:

pamoja mkuu hawa wote wanamichango mikubwa kwenye hili jukwaa!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Ingia google search instagram apk utapata set up yake, idownload then install manually itakubali.
 
Last edited by a moderator:
Chief Mkwawa na Mwl.RTC nawakubali sana, big up wakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…