angefaa sana kuwa waziri wa wizara ile ya teknolojia badala ya yule kichwa nazi aliyeko
mmh!, kwa siasa hizi za majitaka za kibongo,watu kama
Chief-Mkwawa wabaki tu kutumia utaalam wao kusaidia watu hapa JF na kwingineko,nina hakika heshima yao itaendelea kudumu na kutambuliwa kuliko kuingia kichwa kichwa ktk siasa za tz ili uwe mbunge/waziri.siasa zimechangia sana kuuwa vipawa na akili za wataaalm/wasomi wa nchi hii.
jikumbushe yaliyo wakumba akina prof.muhongo,tido muhando na TBC alipo toka tu BBC,nguli wa sheria Dr masumbuko lamwai na wengineo ambao kwa sasa hawasikiki tena.wamepotweza.
namshauri chief,kwa alipo fikia,afikirie kuacha kutumia nickname ya "chief mkwawa" ,badala yake atumie jina lake halisi,itamuongezea heshima,fursa,kuaminika na hatimaye kupata deal nyingi nje ya JF.mda mwingine fake ID tunazotumia JF zinatukosesha fursa bila sisi wenyewe kujua.nazungumzia kwa sisi ambao tuna vision ya kufanya jambo kubwa la kimaendeleo kwa siku za usoni.it's has been said,online users with real ID appear more professional and accountable in their conversations.
so chief, it's just an advice,you can take it or leave it.pamoja kaka.