No More Drama
Member
- Jun 2, 2013
- 95
- 19
Chief-Mkwawa karibu.
hii ingehamishiwa jukwaa la Complaints, Congrats, Advice
Join Date : 25th May 2011Posts : 7,788Rep Power : 1366800Likes Received3212Likes Given0 Mkuu hata like!hii ingehamishiwa jukwaa la Complaints, Congrats, Advice
Tueleze ilikua pc gan[emoji101] [emoji101]Nilikuwa nataka kununua PC nilikuwa sijui nianzie wapi kwa hela yangu na ubora wa PC CHIEF MKWAWA alinielekeza hadi nikaelewa na nikafanikiwa! Na machine inapiga kaz hadi sasa! Ubarikiwe kaka mungu awe nawe katika kazi za mikono yako na mengine kwa ujumla! Nashuhudia
Mkuu tupia specification hapa tukaisake.Nilikuwa nataka kununua PC nilikuwa sijui nianzie wapi kwa hela yangu na ubora wa PC CHIEF MKWAWA alinielekeza hadi nikaelewa na nikafanikiwa! Na machine inapiga kaz hadi sasa! Ubarikiwe kaka mungu awe nawe katika kazi za mikono yako na mengine kwa ujumla! Nashuhudia
nawasilisha kwa kuwa follower wa jf kwa n muda mrefu na kuuulza maswali mengi kuhusu tecnilojia Chief-Mkwawa amekua msaada mkubwa kwangu na watu wengine
nilikua naomba kujua experience yako umeitoa wapi
SALUTE YOU CHIEF
[emoji109] [emoji109] [emoji106] [emoji106] [emoji817]
Sawa chief ww ni jf expert aseeekaka ukibadili tu approach yako toka mazoea kuja kuelewa then utajua mambo mengi ya technology.
pia mimi sio mtaalamu zaidi humu jukwaani, kuna watu wapo deep zaidi, ni vile tu napata muda mwingi wa kupost vitu
Chief-Mkwawa aisee hili jukwaa lako. Maoni na pongezi humu humu...... Kule kwenye hilo jukwaa ni mbali sana. Hongera zako chukua humu humu.
Jamaa ni Lissu katika lile jukwaa.