MEXICANA
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 1,772
- 2,032
Ni meya msitaafu wa manispaa ya Bukoba kwa akina Rwetabangula,Rweikiza ,etc
Kusema ukweli jamaa ana ushawishi wa kisiasa hatari, angekuwa mtumishi wa Jehova nafikiri hata shetani angetubu na kuacha ushetani wake.
Ikumbukwe kuwa,Chief Kalumuna mpaka alipofikia hapo ni malezi na taaluma nzuri aliyoipata akiwa CCM japo siku za nyuma Mwaka 2015 watu wachache ndani ya CCM walitaka kumharibia future yake ndipo alipokimbilia CHADEMA na hatimae akawa Meya
Kwa jimbo la Bukoba Mjini bado ni sintofahamu kama upinzani utapoteza au la,maana jamaa ametia nia na ni asilimia kubwa anaweza kuchukua labda DJ zero akate jina lake maana hata kwenye uchaguzi ndani ya chama chao ngazi ya kanda alikuwa amemchapa fimbo za kutosha Wenje ila DJ zero kama kawaida akabadili gia angani jamaa akapolwa haki yake.
"Stay tuned BK is unpredictable"