LMFAO......***** walahi wewe na huyo jamaa uliye mkoti mnajua kuvunja watu mbavu.yaani niko zangu maeneo nalainisha koo kwa castle bariiiiidi,nimecheka mpaka basi,nashukuru kelele za mziki zilimeza sauti ya kicheko changu,otherwise majirani wangesikia.eti kipini kitafanya nini?!.