Chidi Benz kutoboa pua imekaaje?

Siyo siri chid benz alikuwa mwana hip hop wa ukweli sana na hata sauti yake ilikuwa ya ukweli
ila amekuja kuchange gafla tu pale alipo anzakuwa beneti au kushilikiana na MZEE YUSUPHU ndipo hapo alipo anza kulegeza hata sauti,kutoga pua na kuanza kuvaa kipuri puani,

sijui kwenda saloon kujilemba kama jike kuchonga nyusi n.k

ukitaka kuamin hebu cheki kipindi cha CHID SHOW kwenye chanel 5.
Hasa kipindi kile anaanda wimbo alioshirikiana na mzee yusuphu.
 
Kuiga tu yasiyofaa atoboe na kitovu na ulimi na kwenye nanii kwa juu
 
jamaa kama sijakosea kumsikia nimemsikia akisema amefanya hivyo kwasababu MAMA yake ametoboa,tena kasisitiza kwa tabasamu,TAFAKARI,CHUKUA HATUA!!

kwa hiyo kila anachofanya mama yake anaiga.dah mama kamharibu mtoto.
 
Siyo siri chid benz alikuwa mwana hip hop wa ukweli sana na hata sauti yake ilikuwa ya ukweli
ila amekuja kuchange gafla tu pale alipo anzakuwa beneti au kushilikiana na MZEE YUSUPHU ndipo hapo alipo anza kulegeza hata sauti,kutoga pua na kuanza kuvaa kipuri puani,

sijui kwenda saloon kujilemba kama jike kuchonga nyusi n.k

ukitaka kuamin hebu cheki kipindi cha CHID SHOW kwenye chanel 5.
Hasa kipindi kile anaanda wimbo alioshirikiana na mzee yusuphu.

Mzee Yusuf anapigwa na kupigwa kwa hiyo inawezekana wanashirikiana kwa hilo na Chid
 
ni upumbavu uliochanganyika na ukosefu wa busara.....am not suprised, vijana hawa wana nafasi kubwa ya ku-shape jamii lakini uchanga wa industry ya entertainment unachangia...

mtu kama Chidi ungetegemea awe na washauri wa kumuongoza katika mambo kadha likiwemo hili la mitindo na mavazi....sidhani kama ana hata wazo hilo why? b'se anadhani anajua kila kitu when he is a bloody foolish.
 
Mzee Yusuf anapigwa na kupigwa kwa hiyo inawezekana wanashirikiana kwa hilo na Chid

aisifuye mvua imemnyea...kashawahi kukupiga nini mkuu??? alikuwasha vingapi, maana huwa anatumia sana mchuzi wa pweza huyo mfalme.
 
aisifuye mvua imemnyea...kashawahi kukupiga nini mkuu??? alikuwasha vingapi, maana huwa anatumia sana mchuzi wa pweza huyo mfalme.

na ww itakuwa kashawah kukupiga umejuaje kama anatumia mchuzi wa pweza. Tuambie na ww alikupiga vingapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom