The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,230
- 116,848
Kumbe unaweza kuwa bilionea na msomi lakini teja tu likakuzidi ujanja
jinsi ya 'kuusoma mchezo' na kuchukua maamuzi sahihi..
Manji alipoitwa aliwahi mno kuripoti na alikuwa na hasira na kubeba wanasheria 8
Mwenzie Chidi Benz kajifanya yupo rehab...hadi 'upepo umepita'
Sometimes unahitaji 'street knowledge ' zaidi kuvuka vikwazo fulani fulani..
kuliko ku apply ushauri wa wanasheria ambao sanasana wanataka tu pesa..