Chidi Benz atoboa Pua..

Chidi Benz atoboa Pua..

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Dunia yako, Chaguo lako, Chagua kuwa.......

Chidi Benz atoboa pua.......dunia yako, chaguo lako, chagua kuwa........jpg

















Boflooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
aliimba wimbo na mzee yusuph pia.
 
Ndio ushoga unaanzaga hivi hivi. Wewe dume zima na midevu yako utatoboaje pua bwana? Halafu eti unajiita kioo cha jamii, huoni hata aibu? Unaifundisha nini jamii?
 
Safi sana ameweka alama ya vidole viwili ya chama chetu pendwa Pipozzzzz pawa!
 
Back
Top Bottom