Chidi Benz arudia madawa ya kulevya, Babu Tale aapa kutomsaidia tena!

Hao wakina Tale ndio wamezingua....Kwanini Chid Alitoroka bagamoyo na wao wakampokea,kuhishi nae na kum-rekodia mpaka Wimbo?!

Kama kweli Alitoroka kwanini hawakumrudisha Bagamoyo?!

Wakina Tale waliweka maslahi mbele na kutafuta Kiki na hayo ndio matokeo Yake na Chid na yeye ni Zoba kujifanya mtoto wa mjini kumemponza Acha avune alichopanda.
 
Madawa ya kulevya sio mabaya inategemea mtumiaje anatumia gredi ipi.... Na anayo pesa ya kutosha.

Tofauti na hapo utakuwa teja ambaye achoka kwa sababu unatumia madawa ya kulevya gredi ya chini wanaita " unga mchafu "
Na huwezi kubadili damu kila baada ya miezi 6.
 
Hivi kabla chidi hajaanza kula unga, hakukuwa na mateja ambao tayari walishaathirika na unga kweli?
Hivi chidi hakuwaona?
Aliwaonea huruma au alitamani kuwa kama wao?
Je tunajua hata yule teja tunaemuona karaha pale stendi ya mabasi nae alikuwa smart, na afya tele tena zaidi ya chidi?
Hivi tukimbana na kumuuliza chidi alipoutoa unga, mpaka tukampata mfalme wao anaeuingiza nchini hatuwezi kufanikiwa kuutokomeza?
UKIMWI hauna agent, akupae unaweza usimtambue, acha tuendelewe kugawa ARV, lakini hata unga kweli akupae humjui?

Kuna yule aliyesaidiwa na rais, hivi kweli mheshimiwa angeshindwa kumuuliza yule binti akampa channel nzima, nao wakabanwa tukautokomeza huo mtandao?

Kwakweli hapana, hatujashindwa lakini pia hatujaamua. Tupotupo tu.
 
Ndio maana yule Rais wa Phillipines anaua yeyote anaye jihusisha na ngada, kule wenzetu sober house ni mochwari, madawa ya kulevya yana maliza sana vijana kwa kweli nina hasira sana hapa nilipo
Rais wa ufilipo anavyowaua mapusher na madrug lords watu wanalalamika,wakati wao ndio sababu vijana wanaangamia
 
Madawa ya kulevya sio mabaya inategemea mtumiaje anatumia gredi ipi.... Na anayo pesa ya kutosha.

Tofauti na hapo utakuwa teja ambaye achoka kwa sababu unatumia madawa ya kulevya gredi ya chini wanaita " unga mchafu "
Na huwezi kubadili damu kila baada ya miezi 6.
katafute wapuuzi wenzako uwaambie upuuzi wakp,,km sio mabaya mbona wewe hutumii?
 
katafute wapuuzi wenzako uwaambie upuuzi wakp,,km sio mabaya mbona wewe hutumii?
Tatizo umeshakariri kuwa mtumiaji wa madawa ya kulevya lazima awe na hali mbaya then mchafu mchafu, ndio maana nikasema wanatumia unga mchafu.

Wapo wanaotumia madawa ya kulevya hapa hapa bongo but their still smart na wana pesa.
Huwezi kutumia unga gredi " A " kama huna pesa.

 
Uzi kama huu sisomagi kwani unahuzunisha sana,ukizingatia kma ushapata ndugu wa bhangi au madawa,aisee acheni tu
 
Back
Top Bottom