Paul Makonda aunga mkono Babu Tale kumpeleka Chidi Benz rehab Bagamoyo

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda amefurahishwa na kitendo na response ya haraka iliyochukuliwa na Babu Tale meneja wa Diamond , kumsaidia Chidi Benz aliyekiri kutumia madawa ya kulevya ,kwenda katika sober house Bagamoyo ; kufundishwa jinsi ya kuachana na madawa ya kulevya.

Pia waliambatana na mzee wa kikosi cha mizinga.

Mkuu wa mkoa kaahidi kutoa ushirikiano , kwa Chidi Benz
 
Huyu makonda huyu! Hatatufikisha popote.watu wazima wavute madawa ya kulevya kwa hiari yao yeye aje ampongeze tale kwa ujinga wa chidi vits
 
kwa ile stage aliyofikia Chid benz! daah! sijui aisee haya madawaa
 
Maneno ya kijinga kutoka kwa wenye mamlaka!
Nilitegemea aagize huyo CHID awekwe sero mpaka ataje wapi alikuwa ananunua hayo matakataka!
 
tatizo kuna unafiki mkubwa sana kwenye hizi issue za 'unga'
Jana mtu mmoja kapigwa jela maisha kwa kosa la kukutwa na mirungi kilo 24, wakati Zungu pale kino anajulikana kabisa kuwa ni Zungu la unga lakini kama hawamuoni vile.
 
Mi nadhani mahali panapomfaa chid ni jela tu na kuisaidia police kuwataja waliokuwa wanamuuzia poda
 
Jana mtu mmoja kapigwa jela maisha kwa kosa la kukutwa na mirungi kilo 24, wakati Zungu pale kino anajulikana kabisa kuwa ni Zungu la unga lakini kama hawamuoni vile.
Kha....jmn mirungi tyu ndo wamfunge maisha....hpo kwa kwel wamemwonea bora ht wangemfunga 5yrz
 
Wamuache tu afe,hana faida. Mtu amebakia skeletoni wa nini kuhangaika nae, pili alitaka mwenyewe astarehe,starehe yake iwape wengine shida.
 
Chidi benz ni nani kwenye mkoa huu wenye kero kibao.makonda achana na vyombo vya habari .naskia huyo chidi anakaa ilala kwenye maflat.mbona unapoteza muda makonda na waliopotea
 
Back
Top Bottom