Babu Tale: Niko tayari kumsaidia msanii yeyote anayetaka kuacha madawa ya kulevya

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,487
Meneja wa Diamond Babu Tale katamka kuwa yuko Tayari kumsaidia msanii yeyote yule ambaye yuko tayari kuacha madawa ya kulevya, kasema milango iko wazi kama ambavyo kamsaidia Chid Benzi ambaye kapelekwa sober House Bagamoyo.

Pamoja na hayo kadai haikuwa kazi rahisi kwa Chid Benzi maana pamoja na kumpeleka sober bado alikua "akistua" njiani, njia nzima alikua akivuta hii midude.

Mungu ambariki sana huyu jamaa
 
Meneja wa Diamond Babu Tale katamka kuwa yuko Tayari kumsaidia msanii yeyote yule ambaye yuko tayari kuacha madawa ya kulevya, kasema milango iko wazi kama ambavyo kamsaidia Chid Benzi ambaye kapelekwa Rehab Bagamoyo.

Pamoja na hayo kadai haikuwa kazi rahisi kwa Chid Benzi maana pamoja na kumpeleka rahab bado alikua "akistua" njiani, njia nzima alikua akivuta hii midude.

Mungu ambariki sana huyu jamaa

bure bure?au kamwandikisha kwanza mkataba,akitoka uko awe chini yake?
 
Langa alisema 'I am sick and tired of being sick and tired' inawezekana alirudia kutokana na too much addiction. Ila naona kama Chid hajachoka utumwa wa madawa,wanam lazimisha sijui.
 
Ataanzisha sober house kwa ajili ya mastaa wa muziki. Hii iatakuwa full vituko, kama nawaona!
 
Mawazo yangu bhana!!!Et yananambia kwamba "KAZI ZIMESIMAMA SABABU PUNDA WANAUMWA,MWENYE MIPUNDA ANAWAHUDUMIA HADI WATAKAPOPONA ILI KAZI ZIENDELEE KWA UFANISI ZAID"
 
Mawazo yangu bhana!!!Et yananambia kwamba "KAZI ZIMESIMAMA SABABU PUNDA WANAUMWA,MWENYE MIPUNDA ANAWAHUDUMIA HADI WATAKAPOPONA ILI KAZI ZIENDELEE KWA UFANISI ZAID"
Wasani wanafiki Sana inapokuja suala LA kupiga vita matumizi ya madawa ya kulevya....
 
Daaah chid nae si aache tu, mbna nyimbo zake tulikua tunaskiliza sana na show alikua anapga sana, sasa kipi kimemfanya aanze hayo madude
 
Jamaa ana nia ya kuacha na safari ya sober inaanza......ila njia nzima anavuta vyombo vya kutosha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom