Hii verse ya one the creadible napenda kweli kuwaimbia wadogo zangu wanaochipukia hapa nyumbani iwe funzo kwao,"Upo macho kwenda resi na maisha,michakato ikienda fresh, upo fresh ikifeli UMEKWISHA,kheri imepita,kiukweli wengi WAMEKWISHA,ukifanya kweli fanya iwe kweli KIUHAKIKA",Kheri imepita maana yake upendo,ushirikiano na kuthaminiana hakupo tena huwezi mfanya mtoto wa mwenzio punda wa kubeba madawa,wengi wamekwisha kweli tumepoteza ndugu zetu wengi hata Chid kweli AMEKWISHA,fanya kiuhakika yani kama unasoma soma kweli,kama unaimba imba kweli Chid alichanganya kuimba na mambo mengine,kama unafanya biashara fanya kweli ili usiyumbe.