Chid B new model

Chid B new model

Wengi wao visingizio eti sababu ya stress
Hivi stress zikifanye ufanye hayo madude?
Mbona wengine yametukuta mengi ila hatujawahi hata onja bia sigara kuondoa stresss?
 
Ha ha ha ha Asante, Ngada ni balaa kwakweli ghafla kawa kibabu akisimamama na Mzee kingunge basi Yeye ataonekana ni mzee Zaidi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Watanzania wengi atujifunzi kutoka kwa matatizo ya wenzetu ila tunachekana Chidi ameona wenzake wengi wakiangamia Na madawa wasanii Na wasio wasanii ndio ulikuwa muda Wa kijitafakari maisha Yake upya Na kuingilia alipokosea Na sio kukana kuwa atumii Chidi alishafikia atua ya kukubalika katika mziki wake kipindi chake cha TV alikubalika sana mpaka kupata sapoti ya wasanii wenzake leo chidi anatamani tena Ile sapoti aliyokuwa nayo na kushindwa kujua sapoti ya mafanikio yako duniani ni wewe mwenyewe Chidi unaweza simama tena acha madawa anza kujisapoti mwenyewe utafika kunakujifunza kutokana Na makosa yako Na mwalimu mzuri duniani ni makosa yako
 
Tatizo kuna watu hata hawataki misaada.
Bila mtu kukubali msaada huwezi kusaidia .
 
Ngoja afe ili cc tujifunze kutoka kwake maana yy alishindwa kujifunza kutoka kwa mangwea na rayc wanasema tunajifunza kutokana na makosa ila ni ujinga kujifunzia makosa yako mwenyewe RIP

!
!
Halafu nimekumbuka inshu moja hivi ya yeye na Ray C. Alimfata akampiga Ray C kwa madai ya kumsingizia anatumia madawa. Hakujua kutumia madawa ni sawa na kupanda mnazi uwani, itajitokeza tu. Kwa kweli na afe tu ili watu wajifunze toka kwako. Lakini pia nasikia mkuu wa kaya aliingilia kipindi kile alipotaka kufungwa akaachiwa. Kumbe bora angefungwa angejifunza kitu.
 
Kwahiyo akifa ndio mtajifunza kufa? Au kuacha ngada?
 
!
!
Halafu nimekumbuka inshu moja hivi ya yeye na Ray C. Alimfata akampiga Ray C kwa madai ya kumsingizia anatumia madawa. Hakujua kutumia madawa ni sawa na kupanda mnazi uwani, itajitokeza tu. Kwa kweli na afe tu ili watu wajifunze toka kwako. Lakini pia nasikia mkuu wa kaya aliingilia kipindi kile alipotaka kufungwa akaachiwa. Kumbe bora angefungwa angejifunza kitu.
Nasikia faza hausi ndo alikuwa anawasaplaiya mizigo ila ndo ivo anawapa pumba ile unga halisi wanakula washua ndo maana cc tunachoka tunalushwa maunga dalaja la tatu ya kuliswa nguluwe tunalishwa cc kwa ufadhili wa faza hausi na msaada wa watu wa malekani ache wafe unga ukose soko
 
efee4f3598a5470166e5cbb7ffdc5382.jpg

Hujafa hujaumbika...Mungu hadhihakiwi na uumbaji wake hautukanwi
Je wasanii wanajifunza nn na wenzao wanao athiriwa na haya madawa ya kulevyaa??
 
Back
Top Bottom