Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
Mdudu wa ban kaingia chichat,si bure,kuna mahali tumeanza kuharibu.Kikubwa ninachokiona mimi ni kuwa utani,masikhara na dhihaka kuna wakati vinavuka mpaka na kuwa udhalilishaji. Tunapokosea na kuvuka mpaka nashauri tuwe tunapeana onyo na kukemeana kupitia PM,vinginevyo ladha ya chitchat itapotea.
Kwa uchungu na simanzi,
Nawasilisha,
Bishanga Abashaija.
Kwa uchungu na simanzi,
Nawasilisha,
Bishanga Abashaija.