chichatters sa ingine tunavuka mipaka!

chichatters sa ingine tunavuka mipaka!

Nachelea kusema chit chat imekuwa kama ile ngoma ya KIZARAMO ya TOKOMILE kila ikichezwa lazima BAKORA zitembee, kama wewe si mstahimilivu, kaa pembeni la sivyo bakora zitakuwakia.......

Hebu nikae kimya nisije nikasutwa mie.....LOL
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom