Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,555
Huyo mjamaa invisible sijui kama anachekaga yule kweli robot
hapana chezeya yeye!!!
Huyo mjamaa invisible sijui kama anachekaga yule kweli robot
dah mie ndo sijawahi pata ban! mods naomba basi angalau ya masaa 2 tu
Like ! Like ! Like! Bishanga kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 15 ukiwa hapa JF leo umetoa pointi mkuu!! Naunga mkono hoja asilimia mia, nanyanyuka na kugonga meza kuonesha msisitizo!
Naunga kiuno hoja!!!
dah mie ndo sijawahi pata ban! mods naomba basi angalau ya masaa 2 tu
Mwaka wa pili sijawahi kupigwa ban! Kuropokeana au kulipukiana sio issue! Ukiamua kujicontrol hauwezi kutupwa jela!
Bishanga umeona kuna 'LIKE' za watu wa3 za kalamu za chuma hapi ndio hao hao wahusika wakuu lolMdudu wa ban kaingia chichat,si bure,kuna mahali tumeanza kuharibu.Kikubwa ninachokiona mimi ni kuwa utani,masikhara na dhihaka kuna wakati vinavuka mpaka na kuwa udhalilishaji. Tunapokosea na kuvuka mpaka nashauri tuwe tunapeana onyo na kukemeana kupitia PM,vinginevyo ladha ya chitchat itapotea.
Kwa uchungu na simanzi,
Nawasilisha,
Bishanga Abashaija.
siku utakula BAN ntakuja kukuonyesha hii koment huu ni msumeno at unakata pande mbili nduguLike ! Like ! Like! Bishanga kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 15 ukiwa hapa JF leo umetoa pointi mkuu!! Naunga mkono hoja asilimia mia, nanyanyuka na kugonga meza kuonesha msisitizo!
dah mie ndo sijawahi pata ban! mods naomba basi angalau ya masaa 2 tu