Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 93,473
- 119,277
Hii video ni ya habari inayobamba kwa sasa Marekani.
Inawaonyesha vijana wanne wa Kinugu wakimtesa kijana wa Kizungu ambaye pia ni mlemavu wa akili.
Kwenye video wanasikika wakimtukana Trump huku wakimtesa huyo kijana kana kwamba huyo kijana anamuunga mkono Trump [kijana mwenyewe huenda hata hakupiga kura kutokana na hiyo hali yake ya mental disability].
Na hata kama angekuwa ni mshabiki wa Trump, bado hiyo haihalalishi hata kidogo alichofanyiwa.
Hivi tuseme ingekuwa ndo vijana wanne wa kizungu ndo walimteka na kumtesa kijana wa Kinugu mwenye mental disability, huko Chicago kungekalika kweli?
Roles zingekuwa reversed sasa hivi huenda kungekuwa na maandamano kwenye karibu miji yote mikubwa ya Marekani pamoja na ghasia.
Wale watu wa black lives matter wako wapi? Unafiki, unafiki, unafiki 2.0.