englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Si pilau, ni aina Fulani ya chakula cha kisukuma kinachanganywa via I vitamu name karanga name no kitamu kweli. NB. Nilikiwepo Siku picha inapigwa name mie nilionja huo mlo
Haaaa,,,,, nilijua pilau kweli????? wengine waroho tunapenda vitam japo kwa picha usiwe unatutishia bana!!!!!!!!!!!!!!
Huyo mdingi mwenye uwalaza anahisi kama anapunjwa vile...
Yaani wanavyokishambulia hicho kiporo napata picha halisi namna wanavyoshambulia fedha za ufisadi...kama mbwa mwitu watawanyavyo viungo wa mawindo yao vile.
wadau wanashambulia pilau mama wa hapo pembeni kasogezewa bakuli la maharage anawashangaa tu
umeona eeh,wazee inaonaonekana wana kiu ya pilauhahahahahahahahahaaaa, huyo mama akishtuka tu atakuta sahani nyeupee, naona gombania goli imemshinda
Wakati tunasoma kuliukuwa na topic ya tungo tata sijui kama bado ipo