Chezea msamaha weye!

Umeandika vizuri ila hapo kwenye 'utamu wa h...' sijakuelewa kabisa, halafu nakufikiria vingine kabisa...

Usilolijua sawa na usiku wa giza, lisikuharibie siku kwa kutaka kujua maana yake. Lishapita hilo lipuuzie tuu....

Kufikiri ni haja ya kila mnena. ....... ukiacha kufikiri ujue ushahama duniani .......
 
Hahhaha atabembeleza apo mpaka mate yakauke [emoji23][emoji23][emoji23] walau angekua Na kipande cha chocolate
 
Hahahahaa hawa ndio maana akaitwa hawa hqpo mpaka aongopewe ndio atafurah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…