Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,271
- 13,428
Yani wewe ni bonge la gwashu......tena wa foooo
hahahahaaaaa! Usikute ndio yule mtoto wangu dogo bahili kama baba yake
Yani wewe ni bonge la gwashu......tena wa foooo
Huwa mkikutana huko Canteen mnazungumzia kitu gani?
Future president wa mtaa gani?
Huwa mkikutana huko Canteen mnazungumzia kitu gani?
kwa kweli!! Siku jamaa akitumia laki kwa mdada ataenda itv kabsa!!
Jamani muacheni mtoto akue bwana.
Sikiliza dogo, kwani wewe lazma uende kantini? Anza kumkwepa kisiasa. Hata hao,wanajishaua hapo, ukimuambia niko news cafe masaki, ama mlimani city mtu hakawii kusingizia foleni. Ila ukisema tukutane calabash anakuja fasta. Wewe akikuambia nipo canteen muambie mie niko room nafua, ukitoka huko njoo cant wait to see you, lol
Yani kisoda cha mia sita,bodaboda ya elfu mbili na chips elfu mbili ndo roho inakuuma hadi kuja kuanzisha thread?
Ni kama ifuatavyo....."Mshikaji ulicheki ile katuni ya jana?"
azungumze nn? Si anaishia kula stick tu
Yawezekana ulimtongoza kwa gear ya kuwa wewe ni Bwana Misosi na Usafirishaji🙂
aisee analalamikia 20,000 wakati mimi kuja tu unatakiwa uandae laki tano hiyo haina bajeti ni matumizi yangu ,,,,, alafu bill unalipia na usafiri unalipia.... Bado sijakueleza mahitaji yangu FUTURE prresdent acha ubahili aisee chaliii tumia pesa ikuzoeeeww dogo nenda shule. Inaonekana bado mtoto unalalamika kulipia chips yai na bodaboda wakat hata elf5 inabaki? Watu wanakabidhi atm na hati za nyumba ww unaongelea kihepe?! Hebu toka huko miss chagga ukuje hapa huyu dogo bahili kama...........
Ha ha haaaa uuraaaa so nayeye aje room afuliwe si ndiooo....eee! Mjini JF rahaaa bhaana asikudanganye ntuu.