Chezea mabinti wa mjini wewe, utabaki mtupu

Tatizo sio chips na boda boda, ni matarajio. Anaweza kulipa hata zaidi ili mradi matarajio yake yamefikiwa. No free lunch. Kama chips sio issue si ale kwa bill yake?
chips na boda boda unakuja kulia huku!!! you still have a long way to go....
 
Kwa mtindo huo utaendelea kuwaita mashemeji tu, wenzako wakila minofu weye utaambulia miguu ya kuku!
 
Ah ah ah!mbavu zangu mie, jaman hamuwez jua umri wake na kipato chake, kuonga nako kunaendana na umri na kipato
 
Honey Faith hahahaha jamaa anachekesha papuchi anayo ipururua mbona halalamiki anakuja kulalamika naela ya wanzuki hapa hahaha@team bahili!
Yani kisoda cha mia sita,bodaboda ya elfu mbili na chips elfu mbili ndo roho inakuuma hadi kuja kuanzisha thread?
 
Last edited by a moderator:
Dah kulipia chipc kuku 3500 na bodaboda 2000 unasem "chezea mabinti wa mjini kwel".possible akija mnahadithiana Bongo muv
 
Mkuu, wala usikubali kutoa pesa ovyo, unless uwe unapata kitu in return. Dunia hii hakuna cha bure, akitafuna chips zako hakikisha na wewe unamtafuna...baaasi! Afu kama huwezi kuvumilia kutafuniwa pesa na gf, angalia options zingine...kwa Kimboka 500 utakuwa umeshusha ashki yooote...la sivyo basi piga puchu..asa tukusaidieje!!

Hahah naona umeamua kumpa altenative zote
 
Future Presidaaa?? ata balozi wa nyumba kumi hathubutu kulalamika ivo!
 
Ninagashi mmoja ananiumiza bila kujijua,kila akija ananiambia amefikia canteen moja hivi,so nimfuate,nikienda nakuta ameagiza chipsi kama sio yai au kuku na soda,mlipaji ni mimi hivyo,muda tukiongea tumemaliza anampigia simu bodaboda anaitwa side anaunganisha nilipie usafiri mbele ya boda boda,aaaa mabinti wa mjini noma

Mshikaji, sasa hii ni kutiana aibu tu. Chips na usafiri wa pikipiki ndo unakuja huku na bango kubwa kiasi hiki.....!? Mbona hapo umepata demu mstarabu sana! Ningelikuwa mimi, mbona ningetangaza ndoa mapema tu.
 
Ninagashi mmoja ananiumiza bila kujijua,kila akija ananiambia amefikia canteen moja hivi,so nimfuate,nikienda nakuta ameagiza chipsi kama sio yai au kuku na soda,mlipaji ni mimi hivyo,muda tukiongea tumemaliza anampigia simu bodaboda anaitwa side anaunganisha nilipie usafiri mbele ya boda boda,aaaa mabinti wa mjini noma

Ama kweli future president huyoooooo!! Mambo madogoooo unalalamika kah hatari tupu
 
Ninagashi mmoja ananiumiza bila kujijua,kila akija ananiambia amefikia canteen moja hivi,so nimfuate,nikienda nakuta ameagiza chipsi kama sio yai au kuku na soda,mlipaji ni mimi hivyo,muda tukiongea tumemaliza anampigia simu bodaboda anaitwa side anaunganisha nilipie usafiri mbele ya boda boda,aaaa mabinti wa mjini noma

Anyway Kulipia gharama hizo sio ishu,...Ishu ni wewe kugeuzwa Kanya-boya aaafu unakuja lalamika hapa yaaan kila cku mkiwa na miadi mnakutana canteen?? ***** walae wanawake wengine wanafaidi maisha kirahisi sana, mwendo wa sound tu jombaaa umejaa tele tele ama ndo Mahaba Niue mnayoyaita vijana wa Mjini....????
Badilika Kamanda aibu eti kusema haya maneno mbele ya Wanaume......
 
Ninagashi mmoja ananiumiza bila kujijua,kila akija ananiambia amefikia canteen moja hivi,so nimfuate,nikienda nakuta ameagiza chipsi kama sio yai au kuku na soda,mlipaji ni mimi hivyo,muda tukiongea tumemaliza anampigia simu bodaboda anaitwa side anaunganisha nilipie usafiri mbele ya boda boda,aaaa mabinti wa mjini noma

Dizain unaogopa kutema mastari kwa huyo gash, Acha uzembe ww.. Na usipoangalia uchunwa mpaka mifupa!
 
hahaaaa....mwambie muwe mnakutana kwao basi..ule wewe kwao

hahahaha! Jf kwa majibu kiboko, yaani jamaa anatafuta kitufe ya kudelete thread halafu dizain hakioni kilipo basi full kushambuliwa
 
Last edited by a moderator:
Ninagashi mmoja ananiumiza bila kujijua,kila akija ananiambia amefikia canteen moja hivi,so nimfuate,nikienda nakuta ameagiza chipsi kama sio yai au kuku na soda,mlipaji ni mimi hivyo,muda tukiongea tumemaliza anampigia simu bodaboda anaitwa side anaunganisha nilipie usafiri mbele ya boda boda,aaaa mabinti wa mjini noma

we boya kweli.
 
Jamani muacheni mtoto akue bwana.
Sikiliza dogo, kwani wewe lazma uende kantini? Anza kumkwepa kisiasa. Hata hao,wanajishaua hapo, ukimuambia niko news cafe masaki, ama mlimani city mtu hakawii kusingizia foleni. Ila ukisema tukutane calabash anakuja fasta. Wewe akikuambia nipo canteen muambie mie niko room nafua, ukitoka huko njoo cant wait to see you, lol
 
Future president wa kulalamika au utegeaji wa majukumu kwa kuombaomba,5000 unaanzisha thread? Fikiria kuongeza digits kwa mbele la sivo kanunue sabuni na uishie kuwaita mabinti wazuri shemeji,kua uyaone sio urefu wa maghorofa mkuu ndo haya sasa.karibu ktk uanaume toka kwenye uvulana sasa
 
Ninagashi mmoja ananiumiza bila kujijua,kila akija ananiambia amefikia canteen moja hivi,so nimfuate,nikienda nakuta ameagiza chipsi kama sio yai au kuku na soda,mlipaji ni mimi hivyo,muda tukiongea tumemaliza anampigia simu bodaboda anaitwa side anaunganisha nilipie usafiri mbele ya boda boda,aaaa mabinti wa mjini noma

ww dogo nenda shule. Inaonekana bado mtoto unalalamika kulipia chips yai na bodaboda wakat hata elf5 inabaki? Watu wanakabidhi ATM na hati za nyumba ww unaongelea kihepe?! Hebu toka huko miss chagga ukuje hapa huyu dogo bahili kama...........
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom