Chezea mabinti wa mjini wewe, utabaki mtupu

Chezea mabinti wa mjini wewe, utabaki mtupu

Mh. I just might be from another planet. Or too old for this.
 
Yani kisoda cha mia sita,bodaboda ya elfu mbili na chips elfu mbili ndo roho inakuuma hadi kuja kuanzisha thread?
 
Mkuu, wala usikubali kutoa pesa ovyo, unless uwe unapata kitu in return. Dunia hii hakuna cha bure, akitafuna chips zako hakikisha na wewe unamtafuna...baaasi! Afu kama huwezi kuvumilia kutafuniwa pesa na gf, angalia options zingine...kwa Kimboka 500 utakuwa umeshusha ashki yooote...la sivyo basi piga puchu..asa tukusaidieje!!
 
Ninagashi mmoja ananiumiza bila kujijua,kila akija ananiambia amefikia canteen moja hivi,so nimfuate,nikienda nakuta ameagiza chipsi kama sio yai au kuku na soda,mlipaji ni mimi hivyo,muda tukiongea tumemaliza anampigia simu bodaboda anaitwa side anaunganisha nilipie usafiri mbele ya boda boda,aaaa mabinti wa mjini noma

Yawezekana ulimtongoza kwa gear ya kuwa wewe ni Bwana Misosi na Usafirishaji🙂
 
Mh. I just might be from another planet. Or too old for this.
 
Mkuu ukute ukiwa naye kwenye uwanja wa seremala unampiga mbupu kwa style zote halafu unakuja hapa kulalamikia ghalama ya 5000 wakati unapata mautamu yote hayo ukute hata 0713 unakupa.
 
jambo la kawaida sana hilo kama unashindwa kurekebisha bajeti ndogo kama hiyo kubwa utaweza.........
 
Kweli lazima mbwa amfuate chatu....

Yaani wewe kila ukipigiwa unaenda tu

Hahahahahahah kweli binti kaopoa zombie wake.....hapo hata kiss hupewi
 
Bajeti haizidi 5000 unalia jamaa yangu unatuaibisha aisee,so siku ya kumgegeda utampeleka home au gest?coz usxazi gharama ya chini buku 5, bado usafiri wa boda2,bado chakula,na uchakavu bado si utalalamika mwaka.
 
mkuu mbona pesa ndogo sana hio embu nipe number yake mimi nikusaidie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom