englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Hii mbona ni ocean road
Nahisi huenda petroli na oil vimeganda pia.
Umerudi lini toka huko?petrol huwa haigandi. na oil ipo ile ya wakati wa winter
Umerudi lini toka huko?
Hivyo hivyoHii mbona ni ocean road
Kwa hali hiyo kuna mashati? Au ni makoti kwa kwenda mbele.bado niko huko....vipi nikirudi nikuletee shati?
Kwa hali hiyo kuna mashati? Au ni makoti kwa kwenda mbele.