Cheyo aisulubu CHADEMA

Huyu Cheyo anafahamika sasakuwa ni kibaraka wa CCM na huu ni mwendelezo wa propaganda za CCM. Angalia hata wajumbe wa huo mku5 wake aidha Quorum haikutimia au wote wanatoka Dar. Kwani mikoani hakuna uongozi uliochaguliwa Mfano Mwanza walikuwa na diwani 1 pale 1995. Leo hawana hata ofis.Hawana mwakilishi yeyote nchi nzima ni yeye tu. Hicho chama kiko kwenye Briefcase yake. Kama anapokea ruzuku toka serikalini huo ni Wizi!!!!!!!!!
 
Jamani muacheni Cheyo atapetape kwani amebakiza miaka minne tu ya kuwepo katika siasa za nji hii.... Hana jipya na hata mleta thread hana jipya kwa kuwa CDM haisulibiwi kitoto namna hiyo. JK mwenyewe inamnyima usingizi ndo isulibiwe na CHeyo aliyejichokea. Hivi hiki chama kinawanachama zaidi ya Cheyo mwenyewe??
 
hawa jamaa wakubali tu waktangaze Chadema chama tawala alafu wao CCM,CUF,UDP,NCCR,TLP wabaki wapinzani hapa Tz...hw izt?? CDM members,fellows and fans?
 
Mtashuhudia mengi...

Ya cheyo ni cheyo hasa huyu ndo firauni na ndo musa yeye, na maanisha ktk chama chake yeye ndo shetani na yeye ndo MUNGU, yaani yeye ndo ccm na yeye ndo udp, hamjanipata nasema yy ndo mwenyekiti taifa na yy ndo mwenyekit wa shina.
yani yy ndo Saadam hussein na yy ndo joji bush...

Kama hamjanipata muulizeni chama chake nini malengo yake ya muda mfupi, wa kati na muda mrefu?
 
Mwenyekiti wa UDP John Cheyo ameisulubu CHADEMA kwa kusema kwamba falsafa yake ya Nguvu ya Umma haina maana yoyote kwa watanzania. Cheyo amesema CHADEMA watambue kuwa Kikwete ndiye Rais halali. Cheyo ameyasema hayo katika mkutano mkuu wa chama hicho unaondelea hivi sasa katika ukumbi wa Sabasaba.

Mkutano huo umemchagua kuwa mwenyekiti wa chama hicho akiwa ni mgombea pekee na kupokea majina ya wajumbe wa kamati kuu aliowateua kuendelea na nyadhifa zao. Wajumbe wa mkutano huo walitoka maeneo mbalimbali ya Dar es salaam, ambapo Cheyo amewashukuru kwa kufika kumsikiliza.

Cheyo ametumia mkutano huo kuwalaumu CHADEMA kwa kuingilia ngome zake za kisiasa katika mikoa ya kanda ya ziwa na kutaka chama hicho kichukuliwe hatua kwa kuvuruga amani ya nchi na kumpongeza Rais Kikwete kwa kubaini hila ya CHADEMA.

.........ndiyohiyo

Hivi huyu Cheyo amekuwa mwenyekiti tangu lini?
Viongozi wengine wa chama hiki ni akina nani?
Chama hiki kina nguvu katika mikoa ipi?
 
Kanda ya ziwa = Bariadi ?????????????? 2msaidie jamani, maana na jiografia nayo ime-mtoka, mkulu cheyo. Ovyoooo
 
CHADEMA ACHENI WANYANG'ANYI WA WAPARUANE WAMALIZANE WENYEWE
HUKU 'NGUVU YA UMMA' TUKIWASUBIRI NJIA PANDA YA KURA!!

Jamani siku zote mjue saikolojia hii rahisi ya kwamba kote dunia hakuna Mtu, Chama na au taifa KIDUME mpaka kwanza kuwepo na Mtu, Chama na Taifa linalojihisi K-INZI pinzi wote wajitokezapo mbele ya hadhara.

Hivyo nymbo zisizopata kituo toka kwa wenyeviti wa vyama nchini kama vile Mhe Kikwete, Mrema, Mbatia, Lipumba na hivi sasa Mzee Mapesa na santuri yake mpya ni ujumbe mzito wa ujumbe uliojificha nyuma ya ujumbe tuuonao kiharaka kwenye kelele hizo!!

Sana sana labda nichukue fursa hii kukiomba CHADEMA kiwatendee haki hawa watangazaji wa hiari waliojikita zaidi kwenye kujulisha Wa-Tanzania tulioamka akilini; juu ya uwepo, nguvu na shughuli thabiti za chama hiki kwa walalahoi, taifa, na dunia kwa ujumla!!

Nasema hivi kwa sababu nimeona muda mrefu waheshimiwa kama akina Mzee Makamba, mbali na ratiba zao ngumu kweli kikazi, wakijitolea hivi hivi na wala msitambue juhudi zake, Mhe Kikwete kufanya hivo kwa mapenzi makubwa kila apitako (na wala asifanye kwa CCM) huku nyie wala hamuoni. Mama Simba tena ndio usiseme katika juhudi hizi za hiari kukitangaza zaidi CHADEMA bila malipo.

Naongeza hiviii; acheni wakatutangazie zaidi chama hawa akina TBC1, Rweyemamu wa Magogoni, Chalii Ngoyayi, wakubwa kama Kepteni Chiligati, Benno Malisa, Riz1 Kikwete, Hamad Rashid, Haruna Lipumba a.k.a Mgombea wa Kudumu CUF ... listi ni ndefu sana mpaka najiuliza Dr Ali Mohamed Shein, Maalim Seif, Mzee Msuya, Mzee Warioba, ... wao kukibania CHADEMA matangazo ya hiari katika mkumbo huu wenzetu mnamaana gani??

Ukiniuliza mie ninavyoendelea kushuhudia mishale mbali mbali kwa CHADEMA hadi baadhi ya maafisa wetu serikalini nao kujichagulia kuwashambulia wapendwa wao tena bila aibu, yooote kwangu ni kichekesho kisicho na kituo!!

Mwenzenu ninavyoumwa mbavu hapa kuona watu mnavyojichosha pumsi ya gharama kwa kujadili MENDE zinapoigonga KABATI kiajali tu tena kule katika kuruka ruka kwao ovyo tu ndani jiko lilizoeleka kwa kwa mtaji wake wa uchafu kwa wezi na wanyang'anyi wengi tu ndani ya taifa hili, huku zikitafutia makombo ya wafalme baada ya kusaza na kuvimbiwa pia, mwenzenu mbavu katika na machozi ya furaha kusimama machoni!!!

Acheni hao watumwa wa hiari kwa MFUMO FISADI wajimalize wenyewe kwani kupayuka kwao ovyo ni salamu tosha kwamba kweli CHADEMA na 'Nguvu ya Umma' kote nchini kweli TUMEWASHIKA pachungu sana tena pasipoelezeka zaidi ya mtu mzi kusikika kuendelea tu kutoa gugumia tena wa masharikiiii.

Mwisho ningemuuliza Mzee Mapesa akawaeleze Wa-Tanzania mradi aliyonayo ndani ya Kamati ya Mahesabu Mapato na Matumizi ya serikali, hata asipende kubanduka mle, waka wenzake hali gumu balaa huku mitaani wakati yeye akiendelea kuchota 10% ya kila fungu la UFISADI kama vile RICHMONDI, DOWANSI, MEREMETA, MRADI WA RADA, EPA ... kabla ya kuzifumbi macho, lakini bora nisubiri siku nyingine.
 
Huyu ni opportunist tu....mwaka 1995 alipogombea urais alidhani atapat kura za wasukuma kama 8M akaambnulia tupu...nyumba yake ikapigwa mnada akaokolewa na huruma ya CCM...sasa analipa fadhila....nani kampa haki ya siasa za kanda ya ziwa? Lost case....
 
UDP chama ... ukitembelea ofisi zake pale mwananyamala kituo cha garage ni aibu kudhania hiki chama kina lengo la kushika dola.
Hata ofisi ya CHADEMA, HQ, mtaa wa Ufipa Kinondoni ukiiona utashangaa, ka kijumba cha mganga
 
hawa jamaa wakubali tu waktangaze Chadema chama tawala alafu wao CCM,CUF,UDP,NCCR,TLP wabaki wapinzani hapa Tz...hw izt?? CDM members,fellows and fans?

Mzee kafulia akaombe ndoa aungane na *********** na prf wa pumba watasaidia sana kuganga njaa.
 
Hivi hawa hawana sera zao. Mbona wanaacha kuongelea mikakati yao wanazungumzia CHADEMA au ndio wamishiwa sera. Shame upon them.
 
Mwenyekiti wa UDP John Cheyo ameisulubu CHADEMA kwa kusema kwamba falsafa yake ya Nguvu ya Umma haina maana yoyote kwa watanzania. Cheyo amesema CHADEMA watambue kuwa Kikwete ndiye Rais halali. Cheyo ameyasema hayo katika mkutano mkuu wa chama hicho unaondelea hivi sasa katika ukumbi wa Sabasaba.

Mkutano huo umemchagua kuwa mwenyekiti wa chama hicho akiwa ni mgombea pekee na kupokea majina ya wajumbe wa kamati kuu aliowateua kuendelea na nyadhifa zao. Wajumbe wa mkutano huo walitoka maeneo mbalimbali ya Dar es salaam, ambapo Cheyo amewashukuru kwa kufika kumsikiliza.

Cheyo ametumia mkutano huo kuwalaumu CHADEMA kwa kuingilia ngome zake za kisiasa katika mikoa ya kanda ya ziwa na kutaka chama hicho kichukuliwe hatua kwa kuvuruga amani ya nchi na kumpongeza Rais Kikwete kwa kubaini hila ya CHADEMA.

.........ndiyohiyo

Haaaaa haaaa haaaa! Cheyo kulia lia na uzee wote huo eti ndio "kuisulubisha CHADEMA?" Akaitishe mikutano kanda ya ziwa kama atapata watu wa kumsikiliza! Na hiyo anayodai "kuingilia ngome" anamaanisha nini? Ina maana Lipumba naye "kaingilia ngome" ya CHADEMA/NCCR kule Kigoma? Kweli wanasema uzee dawa lakini mara nyingine uzee ni sumu!
 
labda alikuwa ametokea Clab 84 kula Pombe maana ndio kazi anayofanya Dodoma hiyo.
 
Jamani hembu tupeni orodha ya hao 'wake' za Ccm maana msikae mkasubiria kila mwenye macho anayeona pumba za chadema akiongea ndiyo muanze kusema hizo maneno mbofumbofu. Lipumba, Cheyo tayari tuambieni nani anafuatia?
 
Watu wote waliogombea urais wa Tanzania mwaka 1995 na 2000 ni pumba tupu, including aliyeshinda kiti hicho.
 
Mwenyekiti wa UDP John Cheyo ameisulubu CHADEMA kwa kusema kwamba falsafa yake ya Nguvu ya Umma haina maana yoyote kwa watanzania. Cheyo amesema CHADEMA watambue kuwa Kikwete ndiye Rais halali. Cheyo ameyasema hayo katika mkutano mkuu wa chama hicho unaondelea hivi sasa katika ukumbi wa Sabasaba.

Mkutano huo umemchagua kuwa mwenyekiti wa chama hicho akiwa ni mgombea pekee na kupokea majina ya wajumbe wa kamati kuu aliowateua kuendelea na nyadhifa zao. Wajumbe wa mkutano huo walitoka maeneo mbalimbali ya Dar es salaam, ambapo Cheyo amewashukuru kwa kufika kumsikiliza.

Cheyo ametumia mkutano huo kuwalaumu CHADEMA kwa kuingilia ngome zake za kisiasa katika mikoa ya kanda ya ziwa na kutaka chama hicho kichukuliwe hatua kwa kuvuruga amani ya nchi na kumpongeza Rais Kikwete kwa kubaini hila ya CHADEMA.

.........ndiyohiyo
Falsafa ya nguvu ya umma ina maana kwa wananchi wa nchi yeyote yenye kufuata mfumo wa kidemokrasia,kwamba umma wa wananchi una nguvu kwasababu kwa wingi wao wanaweza kumchagua kiongozi wao,kuandamana kupinga utendaji mbovu,na pia through uchaguzi,kudefine how they want their future to be.Ama alitaka aseme nguvu ya mtu mmoja?Hapo isingeleta maana,ingeleta maana endapo nchi ingekuwa na utawala wa kidictator.
Nguvu ya umma haina tofauti na kusema nguvu ya umoja.
 
Huyo mjinga tu , wana JF mnamjua katibu mkuu wa UDP?, mwenyekiti cheyo, katibu yeye , mweka hzina yeye , wastage of time to discuss useless people
 
Back
Top Bottom