Cheyo aisulubu CHADEMA

Cheyo aisulubu CHADEMA

Ukitafakari kwa kina utagundua kuwa Nguvu ya Umma inayoongelewa na CHADEMA ni tishio si tu kwa CCM bali hata kwa vyama vingine pinzani na CHADEMA yaani CUF, TLP, NCCR, UDP na upuuzi mwingine. Kwani watu wakiamka watagundua kuwa tatizo lao ni CCM na hivyo ili kuliondoa unahitaji chama mbadala chenye nguvu na siyo huu utitiri wa wachumia tumbo wanaojiita wapinzani.

Haiwezekani Mpinzani wa kweli apinge nguvu ya umma kwani ndiyo njia pekee itakayotoa fursa ya wapinzani dhaifu kushinda uchaguzi na kukitoa madarakani chama tawala ambacho tayari kina nguvu kuliko wapinzani. La kujiuliza ni je mpinzani anayepinga nguvu ya umma anategemea nguvu gani mbadala?
 
Its OK JK ni rais, hakuna mwenye shida na hilo!
Je ametaja kuwa cdm wanavuruga vipi hiyo amani?
Na je ameongelea makali ya maisha yaliyopo, na kutoa suggestions za kuyapunguza?

Kweli nguvu ya umma ni tishio kwa wengi!

Kweli mtampenda, na hata wewe leo umekubali kuwa JK ndio kinara wako wa nchi, hongera kwa kulielewa hilo sasa !
 
Cheyo hana mpinzani kwani UDP ni chama cha familia ni tawi la CCM katika kulinda maslahi yake si ya wananchi.Wananchi muwe makini na wachumia tumbo hawa kwani wako tayari kuuza nchi kwa njaa zao.
 
CHEO MAPESA siyo revolutionary hata kidogo, huyo jamaa ni opportunist tu.Miaka ya nyuma aligombea uraisi akidhani wasukuma kanda ya ziwa (38 per cent of the voters) wangempa kura kwa kigezo cha ukabila,Bahati nzuri wasukuma ni wengi ila Mungu amewajaria hawaendekezi ukabila hata kidogo.Sasa Cheyo kinachomsumbua ni yeye ni cheap ameweza kununuliwa na CCM , vile vile chadema wameweza kwa muda mfupi kujiimarisha kanda ya ziwa (of course kwa nguvu ya hoja).Cheyo ahangaikie kukiimarisha chama chake (hakina falsafa na dira inayokubalika na watanzania walio wengi) cha UDP ambacho ushawishi wake hapa nchini ni below 0.01 per cent.
 
Wape wape vidinge vyao Chadme hao wasio na macho wala kujua mwelekeo
 
'na kuwapokea wajumbe watatu aliowateua yeye, kuvamia ngome yake kanda ya ziwa' Huyu bwana njornjoro kwa sasa amechoka tena sana, alitaka kuifanya udp chama cha kanda ya ziwa, akashindwa na sasa amebakiza seheu ndogo sana ya bariadi. Kila kitu anafanya yeye na hata hao wajumbe wa mkutano aliouita 'mkuu' amewateua yeye. Amekwisha tembe huyu mwenyekiti
 
Back
Top Bottom