Hivi jamani kwanini cheti cha ndoa kisingekuwa mnapewa watu mshazeeshana kuliko kupewa wakati ndokwanza mnaanza mapambano kama vyeti vingine kuvipata mpaka uvisumbukie nachenyewe kiwe hivyo et.
we unadhani itasaidia nini labda?wangap wanaanza shule na hawamalizi?ndoa ni maisha kamili ndugu hayana uhusiano wowote n kukaa prepo ubunifu na kujiamini.
Hivi jamani kwanini cheti cha ndoa kisingekuwa mnapewa watu mshazeeshana kuliko kupewa wakati ndokwanza mnaanza mapambano kama vyeti vingine kuvipata mpaka uvisumbukie nachenyewe kiwe hivyo et.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.