Cheti Cha La Std 7, ktk nyakati hizi hakina umuhimu wowote, labda katika kutengeneza mianya ya rushwa na unyonyaji.
Fikiria, Wale Wenye Hoja Kuwa Cheti hicho kitatumika katika kulinda taasis nyeti isivamiwe na WAHUNI 'SPY', Nadhani Hawali Angali Suala Hili Kwa Undani, Katika Dunia ya leo spying haiwez kuzuiwa kwa kuchunguza waajiriwa wamesoma wapi elimu ya msingi? huku tukijua wazi kuna lundo la raia wa kigeni wa halali na haramu, ambao wanaishi hapa, wengine wameoa/kuolewa hapa, na wana watoto wa wajukuu ndani ya mipaka ya TZ, Na Hao Watoto/wajukuu Zao Wanasoma/walisoma Ktk Shule zetu hizi hizi, na pengine wamesha tunukiwa hivyo vyeti..
SIAMINI, kama hivyo vyeti vinauwezo wa kulinda hizo mnazo ziita taasis nyeti dhidi ya ma spy.
Wengine, Wanasema Cheti Cha Darasa La 7, kinatumika kama kitu ambacho kitasaidia kufanya cross-check ya cheti cha kuzaliwa, kuamini hilo ni UMBURULA, Kwasababu Wote tunajua udhaifu wa kupatikana kwa vyeti vya kuzaliwa..
KIUKWELI, MIMI SIONI UMUHIMU WA CHETI LA DARASA LA 7...