Cheti cha Darasa la Saba

Cheti cha Darasa la Saba

hapo wewe ndio mwendawazimu sasa.... ET NINI UMIHIMU WAKE ...? kama huji umihimu wa std 7 chet bhasi wewe ndio chizi/mwndwazimu + mburula ...hey nimepita tuu

when was a last time you did a medical check? it seems your neuro-status is in disorder.
 
Yani hii serikali ni HOVYO sana yani baadhi ya idara kama PCCB, UHAMIAJI wamefkiria wakaona mbinu sahihi ya kupunguza watu kwenye usaili ni kuwaambia waweke hicho cheti.

NINI UMUHMU WAKE?

Kweli Tz ni kichwa cha TAHIRA NA SIO MWENDAWAZIMU

kwani cheti cha Form 4 na Form 6 kina umuhimu gani?
 
Yani hii serikali ni HOVYO sana yani baadhi ya idara kama PCCB, UHAMIAJI wamefkiria wakaona mbinu sahihi ya kupunguza watu kwenye usaili ni kuwaambia waweke hicho cheti.

NINI UMUHMU WAKE?

Kweli Tz ni kichwa cha TAHIRA NA SIO MWENDAWAZIMU

Sasa shida hapo ni nini mkuu, Kwani si vinatolewa na hakuna anayekatazwa kuchukua au shule uliyosoma imeungua? Utaahira ni kuvitoa hivyo vyeti or kutakiwa kuambatanishwa kwenye application? Hivi we hujawahi kuona mtu katoka zake Kenya kasoma sekondari Bongo na akaenda chuo? Uhamiaji, usalama wa taifa, JWTZ, PCCB n.k. ni taasisi nyeti mno kijana na ukifanya uzembe unaweza kumuingiza spy, we hujasikia majuzi Mkenya kakamatwa analitumikia jeshi la ulinzi la Uganda?
 
sasa shida hapo ni nini mkuu, kwani si vinatolewa na hakuna anayekatazwa kuchukua au shule uliyosoma imeungua? Utaahira ni kuvitoa hivyo vyeti or kutakiwa kuambatanishwa kwenye application? Hivi we hujawahi kuona mtu katoka zake kenya kasoma sekondari bongo na akaenda chuo? Uhamiaji, usalama wa taifa, jwtz, pccb n.k. Ni taasisi nyeti mno kijana na ukifanya uzembe unaweza kumuingiza spy, we hujasikia majuzi mkenya kakamatwa analitumikia jeshi la ulinzi la uganda?

ok mnaposema vinahitajika sehem nyeti..,...sijawah kusikia jwtz, polisi,usalama wa taifa, bot wamevihitaji au nini maana ya sehem nyeti?
 
Taarifa kama umemaliza shule ya msingi kati ya mwaka 1993 mpaka 1999 vyeti vili stop kutolewa na vilianza kutoka mwaka 2000 so be care ..... Unapoenda shule kama umemaliza miaka hiyo utapewa barua tu ya utambulisho

Unachokisema hakina ukweli mkuu,,,kuna watu wamemaliza std 7 within hicho kipindi na vyeti wanavyo, so sio kweli.
 
Yani hii serikali ni HOVYO sana yani baadhi ya idara kama PCCB, UHAMIAJI wamefkiria wakaona mbinu sahihi ya kupunguza watu kwenye usaili ni kuwaambia waweke hicho cheti.

NINI UMUHMU WAKE?

Kweli Tz ni kichwa cha TAHIRA NA SIO MWENDAWAZIMU[/QUOTE
Datz true, hawana jipya wamekalia urasmu tu.
 
when was a last time you did a medical check? it seems your neuro-status is in disorder.

ahsante mkuu ni bora ungetumia kiswahili na kingereza chako cha ugoko ...... sio bure ila utapona tuu nakushari acha mjani+viroba huenda utapata nafuu (note kwenye red unahusika sana)
 
Kwani cheti cha kuzaliwa kina kazi gani?
Umuhimu wake ni nini?
Nanio hajui kuwa wewe ulizaliwa?

Iwapo cheti cha kuzaliwa kina umuhimu
Basi hata cha std 7 kina umuhimu
Hoja uliyotoa ni ya kipambafu
Inayodhihirisha utaahira ulionao
Pambaf zako.

Bazazi

m..se...nge ww acha kuongea kwa ma..ta,ko m..----- wako
 
Kwani cheti cha kuzaliwa kina kazi gani?
Umuhimu wake ni nini?
Nanio hajui kuwa wewe ulizaliwa?

Iwapo cheti cha kuzaliwa kina umuhimu
Basi hata cha std 7 kina umuhimu
Hoja uliyotoa ni ya kipambafu
Inayodhihirisha utaahira ulionao
Pambaf zako.

Bazazi

mse,..nge mkubwa ww..acha kuongea kwa kutumia m..a..t,a..ko ,mku...ndu wako
 
Ukienda kuomba kwenye Shule ya Msingi uliyosoma unapewa. Shida ipo kwa wale wanaoruka madarasa labda toka darasa la sita halafu anaenda kuanza Sekondari.

mimi cha kwangu kimepotea mimayo loss ripoti naenda kukipata wapi tena msaada ndugu
 
yes wanalipwa some allowance fulani sina uhakika sasaivi ni sh ngapi bt wanalipwa mkuu.bt sio mshahara kamili.
sasa hv huna uhakika ni sh ngapi,je zamani walikua wanalipwa sh ngapi?
 
HAMJAELEWA TOPIC YANGU?...anayejua umuhmu wa hcho cheti aniambie

lengo lake kubwa kuthibitisha uraia sababu vyeti vyetu vya kuzaliwa vingi vya kutengeneza ukubwani kwaiyo havikidhi vigezo.
 
ahsante mkuu ni bora ungetumia kiswahili na kingereza chako cha ugoko ...... sio bure ila utapona tuu nakushari acha mjani+viroba huenda utapata nafuu (note kwenye red unahusika sana)
sio bure una matatizo ya akili na uelewa wako umeishia hapo by the way siku hizi kichaa kinapona, ndugu zako wakupeleke hospitali.
 
Taarifa kama umemaliza shule ya msingi kati ya mwaka 1993 mpaka 1999 vyeti vili stop kutolewa na vilianza kutoka mwaka 2000 so be care ..... Unapoenda shule kama umemaliza miaka hiyo utapewa barua tu ya utambulisho

Mkuu sio kweli, mbona mimi nilimaliza huo wakati na nikaenda kufuata cheti changu wala hakukuwa na longolongo? Au ni baadhi ya mikoa!?
 
Back
Top Bottom