maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 652
- 1,388
Nimeuliza hili swali sababu dalili zilishaonekana kama mama alikuwa hapendwi na baadhi ya watu ingawa idadi imeongezeka mara dufu
Hivi angeamua kujikalia pembeni kama Majariwa angepungukiwa na nini tofauti anavyoishi kwa kukosa amani ya moyo na kusakamwa na kila mtu?
Hivi angeamua kujikalia pembeni kama Majariwa angepungukiwa na nini tofauti anavyoishi kwa kukosa amani ya moyo na kusakamwa na kila mtu?