Rupia hakuwahi kuwa BaloziAkili ya Mteuzi inadhani kila CS lazima apewe title ya “ubalozi”
Mkuu katiba haina kipengele chochote kinachozungumzia sifa za mtu kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu kiongozi.Sababu kubwa ni katiba ilimtaka CS awe ni mwajiliwa serikalini, ila Bashiru hakuwa mwajiliwa
Unajaribu kusisitiza nini hapa ukizingatia swali la mtoa mada?Mkuu katiba haina kipengele chochote kinachozungumzia sifa za mtu kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu kiongozi.
Katibu Mkuu Kiongozi ni zao la Sheria ya Utumishi wa Umma yaani The Public Service Act ya Mwaka 2004 kama ilivyofanyiwa marejeo mbalimbali hasa hasa 2016, 2018, 2019.
Sheria hii nayo haiweki sifa za mtu kuteuliwa kuwa katibu Kiongozi.
Basi labda umezaliwa 2019Sababu kubwa ni katiba ilimtaka CS awe ni mwajiliwa serikalini, ila Bashiru hakuwa mwajiliwa
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Huu ndio ukosoaji usiokuwa wa staha aliozungumza Rais.Akili ya Mteuzi inadhani kila CS lazima apewe title ya “ubalozi”
Sasa ni wapi hapo alipokosa staha?! Acheni haya mambo ya kulea lea maujinga ya viongozi ya kutaka waonekane miungu watu! Yeye mwenyewe mbona huwa haongei lugha za staha tena hadharani?! Au kwavile yeye ni rais ndo anaweza kuwaambia watu hadharani "bakini na mimavi yenu" lakini raia kusema "akili za mteuzi" ndo uvunjwaji wa heshima?Huu ndio ukosoaji usiokuwa wa staha aliozungumza Rais.